Naombeni kujua shule za msingi za serikali, wanatumia vitabu vipi ,Darasa la Sita .kuna Dogo nataka nimtaftie hivyo vitabu.
Ikiwezekana naomba na PICHA ili iwe rahisi nikienda kukinunua.
Naombeni sana Hesabu na Sayansi , Viwe ni mojawapo kati ya nitakavyojulishwa tafadhali.
Nomba kuwasilisha .