Kuna mtu anawajua Hawa FOCUS AFRICA?

MADABACHU

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
325
379
Nimeona wamenitumia meseji Leo kwenye Email kuwa nimekuwa shortlisted kwa hyo Wana interview zingine kama mbili hivi, ila kwanza lazima uwe na Cetfied Cognitive Report (CCR), baada ya kufuatilia hii CCR nikaona inatolewa Ata kwa online Kuna watu wanatoa nadhani kampuni inayotoa ipo Kenya ila bei nikama $45_$54 hivi.
Then utaweka na Kuna form wamenitumia nijaze ndio niwatumie.

Kazi yenyewe ilikuwa ipo Zambia.

Screen shot hii hapa

IMG-20220128-WA0001.jpg
IMG-20220128-WA0002.jpg
 
Hii shirika hakuna application nliwah tuma nkakosa kuitwa mara 3 zote maandishi kama yalivo hapo juu,ajabu ni mwezi huu nshatumiwa email kabla ya deadline..kumbe wezi
 
Back
Top Bottom