Hata kama hakuna shida, page zaidi ya moja kwa barua ya kazi unaandika nini?Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi.
Naomben majibu
AhsanteHata kama hakuna shida, page zaidi ya moja kwa barua ya kazi unaandika nini?
Keep it short and clear, isimchoshe mwajiri. Waombaji ni wengi unadhani kuna mtu ana muda wa kusoma gazeti?
All the best
Ndio tumechanganyikiwa hivyo maana kazi hizi zimekuwa kilio tu[emoji23][emoji23]Page mbili zote unaandika nini ndugu??[emoji23][emoji23][emoji23],au una PhD nyingi kama za yule Mzee muomba U-Spika??
Ndio tumechanganyikiwa hivyo maana kazi hizi zimekuwa kilio tu[emoji23][emoji23]
Achana na swala la kuandika page mbili au tatu ila kuna swala Je inapaswa kuandikwa kwa mkono yaan hand written au iwe typed?Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi.
Naomben majibu
TypeAchana na swala la kuandika page mbili au tatu ila kuna swala Je inapaswa kuandikwa kwa mkono yaan hand written au iwe typed?
Wakulungwa wenye majibu naombeni
Recommendation letter kutoka wapi?Page moja tu mkuu, maana CV yako, recommendation letter na taarifa zingine wanazo. Barua yako iwe fupi lakin clear.
Icho kipengele kipo unaweka recommendation letter from your previous supervisor au employer ni nzuri kwa internsRecommendation letter kutoka wapi?
Mbona utumishi hawana hizo mbwembwe!
Inakua ni barua ya kazi au ya mapenzi?Mimi nawekaga page 3 sijawai kosa itwa ata siku moja
Basi mimi sijawahi kuhangaika nacho mkuu,ndio maana nimeshangaaIcho kipengele kipo unaweka recommendation letter from your previous supervisor au employer ni nzuri kwa interns
View attachment 2092810
Mkuu kuwa makini, na ile barua ni muhimu sana. Kwenye sehemu ya other attachments kuna CV, Birth certificate na hiyo recommendation letter.Recommendation letter kutoka wapi?
Mbona utumishi hawana hizo mbwembwe!
Umangalia masharti ya height na width ya passport size photoWakuu
Kila picha nayoweka ajiraportal wasema ni kubwa
nimejaribu hadi kuweka yenye 77kb bado inakataa