Tupo Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam.
Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia.
Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama KISANGANI kwa zaidi ya miaka 40,tukaona ni vizuri kuweka na Garage ili kutoa huduma za uhakika zaidi kuepusha usumbufu wa wewe kutafuta garage baada ya sisi kukuuzia spare KISANGANI.
Kwa hiyo Sasa hivi unapata spare na service tunakufanyia.
Gari yako tunaicheki kwanza kama Ina Tatizo lolote unaambiwa na ni Bure hiyo tunaifanya.
Baada ya hapo ndio utasema kama itengenezwe .
Tunafanya pia Wheel alignment, Tyre Fitting and Oil Change.
Karibuni sana
0784292222
View attachment 2494248
View attachment 2567406View attachment 2567407