Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika
Simu lumia 520 imejilock imejaribiwa hard reset imeshindika , sasa inasema kuna dakika 22000 mpaka ijiunlock. Je kuna njia nyingine ya kutatua tatizo hili
Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, jiko ,choo na sebule ,ipo kwenye uzio, bei ni 350000tsh. Ipo tegeta masaiti mbele kituo cha mabasi ya nyuki. 0714890018 tunaweza wasiliana,
Kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara pamoja nami inayohusu elimu awe na laptop namkaribisha tufanye pamoja .Biashara iko vizuri kwa kiasi chake kama unabidii na kujituma unaweza pata si chini ya laki moja na nusu ndani ya wiki .
Kigezo kikubwa ni uwe na laptop au tablet , uwe na uwezo mzuri...
nimeinstall upya windows kwenye laptop window 7 bit 64 , sasa kila nikiinstall adobe master collection haimalizi na inasema ' please insert disk adobemastercollection5-trial-english to continue' . Nimekwamia hapo , msaada jinsi ya kuweza kuinstall software hiyo.
Habari.
Kunahitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha.
Mwenye taarifa anisaidie ni kitu serious kabisa.
Audio cd za hotuba ya ufunguzi wa bunge la katiba la tarehe 21/3 , ipo tayari kwa anayehitaji kwa jumla ani pm , anipe idadi anayohitaji. Kuna watu wengi ambao hawakuisikia na wengine wanaohitaji kwa kumbukumbu ya tukio hili la kihistoria. Kamata fursa hiyo
Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni...
habarini . Nahitaji kiasi cha laki nne (400,000) . kwa ajili ya kuongezea kufikia mtaji ambao utaweza kuanzishia biashara ninayohitaji kuifanya hivyo basi ,nina photocopy mashine (canon NP1215) ambayo naiuza na lengo ni kufikia mtaji ambao imebakia laki nne ili niweze kuanzisha biashara hiyo ...
Photocopy mashine canon NP1215, inauzwa laki nne tu ( 400,000) , mashine ipo dar es salaam . inahitaji service kidogo tu . kwa anayehitaji anitafute 0714890018
nina computer yangu hapa dell optiplex sx270 , inakataa kuinstall windows xp aina nyingine zaidi ya service park 1 ,mwenye nayo anisaidi, au anayejua nitakavyoweza solve hilo tatizo anisaidie sasa hivi haiwaki windows inaishia kwenye black screen tu
habari kwa anayehitaji flashdisk kwa bei nafuu 8Gb-15,000/- na 4Gb-10,000/- , aina ni ADATA , sio product ya kichina ni imara . nakupa 1yr guarantee ikiharibika. nicheki 0714890018 .hiyo hapo juu ni Group Facebook unaweza nicheki huko pia
habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu chochote kile ambacho ni kizuri kwa kuona, kutalii, kustarehe, urembo au kitu chochote kizuri amacho mtu...
Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui.
Maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya...
kwa wale wenye timu za volleyball itakuwa poa kaama tukialikana kwa ajili ya mashindano itakuwa poa sana maana tutakuza mchezo.mimi nachezea timu moja ipo tegeta dar. sio mbaya tukiorganise mechi ya kirafiki kwa wale wenye timu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.