location ya kipindi cha television | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

location ya kipindi cha television

Discussion in 'Matangazo madogo' started by najua, Jul 26, 2012.

 1. n

  najua JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu chochote kile ambacho ni kizuri kwa kuona, kutalii, kustarehe, urembo au kitu chochote kizuri amacho mtu atafurahia. liwe ni ndani ya dar es salaam . mwenye uwezo/anayehitaji , ani pm , hakuna malipo yoyote yatakayohusika.
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Ni mm tu ambaye sijaelewa au! Huko juu ktk maelezo yako unamaanisha unatafuta, hapo chini una maliza kwa kusema mwenye uwezo/ anaye hitaji aku PM! Naomba uniweke sawa kwa hilo mkuu.
   
Loading...