mkuu njia nyepesi ya kuipata ingia torrent hapa Microsoft_Windows_XP_Home_Edition_SP1.iso (download torrent) - TPB than download halafu burn ktk cd ili uweze ku install ktk mashine yako kama hujawahi kutumia torrent na hufahamu jinsi ya ku download nijulishe nikupe muongozonina computer yangu hapa dell optiplex sx270 , inakataa kuinstall windows xp aina nyingine zaidi ya service park 1 ,mwenye nayo anisaidi, au anayejua nitakavyoweza solve hilo tatizo anisaidie sasa hivi haiwaki windows inaishia kwenye black screen tu
mkuu njia nyepesi ya kuipata ingia torrent hapa Microsoft_Windows_XP_Home_Edition_SP1.iso (download torrent) - TPB than download halafu burn ktk cd ili uweze ku install ktk mashine yako kama hujawahi kutumia torrent na hufahamu jinsi ya ku download nijulishe nikupe muongozo