Sabuni za magadi au mawingu

Sabuni za magadi au mawingu

najua

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
224
Reaction score
54
Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni shs.2000. Bei ya jumla cartoon miche 20 shs.34,000. Kwa mahitaji tafadhali nipigie No.0767 972010
 

Attachments

  • 2013-11-21 20.28.05.jpg
    2013-11-21 20.28.05.jpg
    549.7 KB · Views: 605
  • 2013-11-21 20.28.31.jpg
    2013-11-21 20.28.31.jpg
    523.5 KB · Views: 519
ndugu nakupa big up sana kwa ujasiriamali huu. Cha nyumbani ndio chenyewe hasaaaaaaaaaa Ntakutafuta aisee. Mi mdau sana wa hizi ndude
 
karibu ujipatie sabuni safi kabisa, za uhakika na nzuri
 
Ndugu nisaidie elimu ya kutengeneza aina hyo ya sabuni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndugu nisaidie elimu ya kutengeneza aina hyo ya sabuni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mbona rahisi sana,chukua mafuta ya kula lita 100,chukua na nyama kilo 50 na mchele 100 upike pilau ukishiba uende sido ukasomee.
 
Nashukuru ndugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bangi zinakusumbua kula kulala wewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ndugu nakupa big up sana kwa ujasiriamali huu. Cha nyumbani ndio chenyewe hasaaaaaaaaaa Ntakutafuta aisee. Mi mdau sana wa hizi ndude

  • Halafu uzuri wa hizi sabuni zina povu jingi sana.
  • Kwa watu wanao tumia maji ya chumvi yasiyo kolea sabuni hii sabuni ni kiboko yake.
 
  • Halafu uzuri wa hizi sabuni zina povu jingi sana.
  • Kwa watu wanao tumia maji ya chumvi yasiyo kolea sabuni hii sabuni ni kiboko yake.

Kabisa aisee.
Ila vipi kuhusu nguo kupauka?
 
Mkuu mbona bei ya hizi sabuni kwa rejareja ni 1000 wewe unasema
 
Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni shs.2,000. Bei ya jumla cartoon miche 20 shs.34,000. Kwa mahitaji tafadhali nipigie No.0767 972010
Ukiwa unavuka hapa Kigamboni hoyp 2,000/= ndio bei ya reja reja pia,
Yeye ananunua duka la jumla na kuja kutuuzia sisi kwa hiyo 2,000/=
Wewe kama mtengenezaji ukiuza bei ya reja reja sawa na muuzaji wa mitaani hapo unakua unabana aisee.


Tuuzie bei ambayo tutaacha kununua mitaani tununue kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom