Dawa ya kuua mbu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kuua mbu

Discussion in 'JF Doctor' started by najua, Jul 25, 2012.

 1. n

  najua JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui.

  Maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya kikwete unakuta wamepiga pozi afu hawafi.

  Msaada jamani
   
 2. b

  bidada Senior Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nenda pale TFA chang'ombe watakupatia, huwa nanunua pale ila jina sikumbuki kwa kweli,
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 1,852
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Mkuu sijui ulipata dawa maana kwangu hawa washenzi sasa wanatesa sana ukiamka asubuhi unakuta wanacheza break dance kama ulipata jamani nijuze nami nina hasira nao na mtambo ninao pia
   
Loading...