Search results

  1. allypipi

    Nahitaji msaada wa haraka, kuna kitu kimeingia jichoni

    Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida. Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali...
  2. allypipi

    UEFA Champions League Draw | Bayern, Barcelona na Inter kundi moja. PSG, Juventus kundi moja

    Kwa wale mashabiki wa uefa champions league leo jioni tutegemehe kuona wababe wa ulaya nani na nani kukutana. Mimi kwangu natamani sana hizi timu kuwa kundi moja. Barcelona vs Man city PSG vs Liverpool Real madrid vs Chelsea Bayern munich vs atletico madrid Ni pale Istanbul Turkey Pia...
  3. allypipi

    Nini maana ya maisha ya mwanadamu? Tunaishi ili iweje?

    Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake. Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
  4. allypipi

    Msaada wa dawa ya kuzuia kubeua

    Habari wana jamvi, Hapo nyuma nilikuwa na sumbuliwa na tumbo kujaa gesi sasa lile tatizo lilipata kuisha sasa toka limeisha nimekua nabeua beua bila sababu hadi imegeuka kuwa kelo kwangu. Mwenye anaweza kujua tiba ya hii kitu anambie maana imekuwa kelo mpaka mbele za watu inanitokea.
  5. allypipi

    Naomba kujuzwa bei za bati

    Habari wana jukwaa. Nahitaji kujua bei ya bati za kawaida izi kwa mkoa wa mbeya Sio mtahalam sana wa mabati ila sio zile za msouth,ni bati tu zile zakawaida. Sema futi za bati sizijui ningependa na orodha ya kila futi ya bati na orodha yake. Asante.
  6. allypipi

    Kati ya Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia?

    Habar wa kuu. Naitaji kujua kati ya simu za Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia na ipi ya gharama nafuu. Ipi yenye ubora wa chaji.
  7. allypipi

    Viongozi wetu hupewa heshima watokapo nje ya nchi?

    Habari wana jamvi, Ivi viongozi wetu upewa heshima kubwa wa endapo nchi za ulaya kama sisi tunazo wapa uku viongozi toka Ulaya. Nataka kujua mtu kama: 1. Rais 2. Makamu wa Rais 3. Waziri mkuu Wakienda Ulaya magari uzuiliwa nanjia kufungwa ili wapate kupita. Maana sisi tuna wapa sana heshima...
  8. allypipi

    Tumbo langu limejaa gesi

    Habari wana jamvi. Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri. Sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba msaada ila choo bado na pata... Ushauli tafadhali.
  9. allypipi

    Je, naweza kupanda maharage na maindi kwa pamoja?

    habari wanajamvi, Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
Back
Top Bottom