Nahitaji msaada wa haraka, kuna kitu kimeingia jichoni

allypipi

JF-Expert Member
May 10, 2020
3,001
9,673
Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.

Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.

Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu.

Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
 
Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.

Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.

Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu

Njoo tukutoe
 
Kwanza Pole pili usipende kuchukulia vitu simple ishu ya jicho ni very Sensitive....... ngoja nifupishe kama kuna uwezekano Leo usilale nenda kituo cha afya ujue tatizo nini ...vipofu wengi walianza kama wew ... kuna story ya kusikitisha ya rafikiyangu yaliyo mkuta ....wahi kituo cha afya ujue tatizo
 
Jaza maji kwenye ndoo,
Kisha angalia ndani ya maji kwa jicho lenye shida,
Chungulia ndani ya maji kwa dakika kama 5 hivi, utakuja kunishukuru
 
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu

Fanya kufika hospitali kitengo cha macho...

Unaweza ukawa wahisi ni kitu kimekuingia machoni, kumbe tatizo likawa kwenye nyama ya kope...
 
Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.

Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.

Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu

Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
Pole sana.

Ni ngumu sana kujua namna ya kukusaidia kwa sababu unasema tu ni kitu bila kueleza bayana ni nini au labda ilikuingia katika mazingjra gani. Kwa kuwa umesema imekuwa ikijirudia, huenda hata hakuna kitu. Inawezekana ni maambukizi mengine tofauti.

Kwa sasa, safisha kwa maji safi. Kuna eye drops unaweza kutumia pia.

Usichukulie tena poa chochote kikikuingia machoni. Jicho ni sehemu sensitive sana. Unapaswa kuchukua tahadhari mno. Kama ukiona hakitoki,tafadhali wahi kituo cha afya kwa ajili ya uchunguzi.

Kope pia zikiingia machoni huchukua muda kutoka. Mtu akuangalie kwa juu na chini. Akiona, achukue kitambaa kisafi akutoe.

Pole sana Mkuu.
 
Kwanza Pole pili usipende kuchukulia vitu simple ishu ya jicho ni very Sensitive....... ngoja nifupishe kama kuna uwezekano Leo usilale nenda kituo cha afya ujue tatizo nini ...vipofu wengi walianza kama wew ... kuna story ya kusikitisha ya rafikiyangu yaliyo mkuta ....wahi kituo cha afya ujue tatizo
usiniambie mkuu.
 
Tumia maziwa ya binaadamu mkuu muombe mama anayenyonyesha akukamulie maziwa uoshe jicho
 
Back
Top Bottom