Search results

  1. Newword

    Nimeamka asubuhi na kukuta kuku wangu wote bandani wamekufa. Naomba ushauri wapi naanzia!

    Wadau nimeamka nimekuta kuku wangu bandani wote wamekufa najiuliza chanzo sipati jibu. Naombeni ushauri.
  2. Newword

    Swali kwa wana IT tu

    Nahitaji kuunganisha MB za simu moja zitumike kwa simu mbili tofauti. Mwenye huelewa anijuze. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app ===
  3. Newword

    Je, ni ugonjwa gani huu kwa kuku wangu?

    Habar wajasiriamali! Kuku wangu vifaranga wanaugonjwa ambao wanafumbua mdomo huku ukielekea juu kama wanapiga mihayo!! Je, ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Newword

    Naomba kujua sifa za watu wenye ushawishi katika jamii

    Hellow JF members. Huwa nasikia kuna watu wenye ushawishi katika jamii. Tafadhali naomba kujua sifa za watu wenye ushawishi katika jamii hapa Tanzania ikiwezekana na mifano ya majina yao. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Newword

    Tuliowahi kuwa memba wa Liberty cinema pale Mwanza sema chochote

    Nakumbuka nilikuwa natoroka shule pale Nyanza primary miaka ya 90 navua shati halafu nazama kutazama TARZANI wewe je? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Newword

    RANGI ZA MAANDISHI

    Nataka kutaipu kwa kuchanganya rangi katika sentesi naombeni kuelekezwa tafadhar. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Newword

    Ushauri: Vifaranga wangu wanaumwa mafua. Dawa gani inafaa?

    Ndugu wazima jamani! Mimi ndo nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na nina muda wa mwezi sasa. Tatizo vifaranga wangu wana ugonjwa wa mafua naweza kuwapa dawa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Newword

    Kipanya ana maana gani hapa?

    Nimechunguza hii katuni sijan'gamua kitu.Hivi Masoud anatoa Ujumbe gani hapa?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Newword

    Tatizo la kuku kugombania mayai

    Wadau. Samahani nina kuku wangu wameanza kutaga kwa mpigo sasa wanatabia ya kugombania mayai wakati wa kutaga. Naomba mnisaidie njia ya kutatua tatizo hili. Sent using Jamii Forums mobile app ------------------------------------ Baadhi ya Michango
  10. Newword

    Utafutaji wa Dhahabu

    Habari wataalamu. Nina miaka kama 10 nimekuwa nazunguka migodini kuchimba madini ya dhahabu bila mafanikio. Nimepoteza kiasi cha sh.M.6.5 katika Maeneo ya Musoma Bhuhemba, Nyarugusu Stamico, Nyaruyeye Geita, Bingwa Lwamgasa na Kaseme. Kuna kipindi nikiwa Mgodi wa Buziba Lwamgasa nilichimbisha...
  11. Newword

    Bongo Star search 2019

    Nimefuatilia mchuano huu na nimebaini kwamba baadhi ya majaji wanakatisha tamaa vipaji vipya kwa kutoa lugha za kejeri.Mfano wa lugha hizo ni kama vile 1. We huwezi kabisa 2.We unapiga kelele huimbi 3.Jaribu kutazama wasanii wengine. Tujaribu kuwapa moyo vijana wetu si kuwavunja moyo.
Back
Top Bottom