Je, ni ugonjwa gani huu kwa kuku wangu?

Newword

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
326
299
Habar wajasiriamali! Kuku wangu vifaranga wanaugonjwa ambao wanafumbua mdomo huku ukielekea juu kama wanapiga mihayo!! Je, ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna mengi.

Yawezekana hawaumwi ila wana stress kutokana na njaa, joto, kiu, etc.

Ikiwa ni ugonjwa basi itakuwa mafua japo sijawahi ona vifaranga wakiumwa mafua. Ila huo ndiyo ugonjwa ulioko mtaani kwa sasa (mafua makali).

Kwa uhakika zaidi ingia google u~search hiyo symptom utapata mrejesho wa uhakika zaidi.
Habar wajasiriamali! Kuku wangu vifaranga wanaugonjwa ambao wanafumbua mdomo huku ukielekea juu kama wanapiga mihayo!! Je, ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi Fluban haina matokeo sana kwa breed nyingi za kuku. Hivyo dawa nzuri kwa sasa ni mchanganyiko wa Tylodox (ya England) na O.T.C 50%.

Mimi nimetumia hii ndani ya wiki mbili tu zilizopita na imefanya kazi.

NB:

Nilianza na OTC 20% ikagoma.

Nikatumia Fluban nayo ikagoma.

Mafua hayo wachunguze puani kama wana majimaji and nunua fluban au wape pilipili kichaa wanywe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom