Ushauri: Vifaranga wangu wanaumwa mafua. Dawa gani inafaa?

Newword

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
326
299
Ndugu wazima jamani!

Mimi ndo nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na nina muda wa mwezi sasa.

Tatizo vifaranga wangu wana ugonjwa wa mafua naweza kuwapa dawa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisei kimbia sana kwenye duka pembejeo kuna dawa nyingi, mafua ni mabaya sana vifaranga watakufa kwa mkupuo ukichelewa.

Hakikisha banda ni safi hawa halina mvumbi au km umeweka madaranda yenye mvumbi yatoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeinunua tayar.Naomba unisaidie jinsi ya kuitumia kwa viranga na wakubwa.Maeneo nayoishi hakuna wataalamu wa tuba hizi.Nimeiweka hapa chini si ndio yenyewe????
1577264118950.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeinunua tayar.Naomba unisaidie jinsi ya kuitumia kwa viranga na wakubwa.Maeneo nayoishi hakuna wataalamu wa tuba hizi.Nimeiweka hapa chini si ndio yenyewe????View attachment 1303091

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza angalia seriousness ya mafua yenyewe, kama tayari wameregea sana, inatakiwa uzidi kidogo kwenye kipimo ulichoelekezwa ila km bado wamechangamka fuata maelekezo ya dawa, ila sasa hakikisha wamekunywa hasa ambao hawawezi kunywa wanyweshe kwa kijiko km unaona tayari kalegea hawezi kunywa mwenyewe.

Maelekezo yanasema 5 g per 5 litres.Najiuliza 5g napimaje?? Wenyewe hawajakegea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gram 5 ni kijiko kidogo chq chai ilq ndiyo uangalie hali ya hao vifaranga kama mbaya sana weka vijiko viwili kwa siku mbili mfulululizo.

Kitu kingine zingatia ambao hawanywi wanyweshwe na dawa inatakiwa kumwagwa baada ya masaa 24 bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tyrodox ni dawa nzuri sn nmeitumia mara kadhaa. Kumbuka kuwatenga kuku ambao ni wagonjwa ndipo uendelee kuwapa dawa kwa mda wa siku 3 hadi 5 mfululizo. Kwa wale wasioweza kunywa wanyweshe mwenyewe kwa kijiko kidogo. Pia ambao ni wazima wape nao wanywe. Wakati unawapa dawa hakikisha umeondoa maji yote ili wanywe dawa tu!

Asante sana ila cha ajabu baada ya dawa kifaranga kimoja kilikufa majuzi la leo nimekagua nimegundua kifaranga kimoja kinazubaa na kusinzia kinahema kwa shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisei kimbia sana kwenye duka pembejeo kuna dawa nyingi, mafua ni mabaya sana vifaranga watakufa kwa mkupuo ukichelewa.

Hakikisha banda ni safi hawa halina mvumbi au km umeweka madaranda yenye mvumbi yatoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiunge na hawa jamaa group lao watakusaidia sana
KAMA BADO HUJAJIUNGA NA TELEGRAM BASI JUA KUA UNAKOSA VITU VINGI.JIUNGE LEO NA BONYEZA LINK HII ILI UJIUNGE NA GROUP LA WAFUGAJI.HAPA UTAWEZA ULIZA SWALI LAKO NA UTAPATA MAJIBU KWA HARAKA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom