Naomba kujua sifa za watu wenye ushawishi katika jamii

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,844
2,000
Matajiri wenye pesa zao Kama Marekani,uingeteza n.Tanzania

Wafanyabiashara wakubwa Sana Kama akina Bakhresa,Mo dewji nk

Kuna wenye vipaji maalumu Kama waimbaji akina Diamond no

Wataalamu mahiri kwenye fani zao mfano madaktari nk
Viongozi wa dini wenye wafuasi wengi Sana mgano kardinali Pengo

Wamiliki wa vyombo vya habari vikubwa Kama Ikivyokuwa Reginald Mengi

Watoaji misaada kwa jamii
 

gluckkcom

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
338
1,000
Mademu Hasa wenye makalio makubwa wana ushawishi sana katk jamii

Na kuna marafik wale wanao jua upo na manz gheto Alafu wanakuja kukupigisha story dirishani ili tu mda wa demu kurud kwao utimie bila ya wewe kupiga game Wale Nao wana ushawishi mkubwa sana ktk jamii wa kipigwa mabanzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom