Swali kwa wana IT tu

Swali kwa wana IT tu

Newword

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
326
Reaction score
305
Nahitaji kuunganisha MB za simu moja zitumike kwa simu mbili tofauti. Mwenye huelewa anijuze.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

===
Washa Hotspot kwenye simu yenye bundle la internet na hizo simu nyingine mbili ambazo unataka zitumie hilo bundle washa wi fi search then connect kwa kuingiza password
 
Kwenye simu yanye kifurushi: turn on hotspot (hakikisha unazijua password zake na jina lake)... kama hujui namna ya kuvipata, uliza uelekezwe

Kwenye simu isiyo na bandle: turn on WiFi, kisha search hotspot username ya simu yenye bandle, baada ya kuipata, ili kuunganisha sasa, ndio utahitajika kuweka zile password za hotspot..

Hapo vipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haiitaji uwe mwana IT kujua washa Hotspot on kweny Simu yenye bando na wenzako wanaotaka kutumia wanawasha Wi-Fi on akikisha unajua password za Hotspot ili Ku connect zikiomba security password
 
Kwenye simu yanye kifurushi: turn on hotspot (hakikisha unazijua password zake na jina lake)... kama hujui namna ya kuvipata, uliza uelekezwe

Kwenye simu isiyo na bandle: turn on WiFi, kisha search hotspot username ya simu yenye bandle, baada ya kuipata, ili kuunganisha sasa, ndio utahitajika kuweka zile password za hotspot..

Hapo vipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Password za hotspot nazipataje?

Nimeanza kuelewa sasa nielekeze namna ya kuzipata password

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Password za hotspot nazipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya kwanza ni sehem ya hotspot... then bofya hilo neno hotspo.. itakupeleka kwenye password (picha namba mbili: vulnerable virus (Jina la hotspot) while mywifemylife..(password)
Screenshot_20200422-085434~2.jpg
Screenshot_20200422-085438.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom