Filipo wa wapi,tamka vizuri"sema Moses Firi"
alafu nakupa taarifa takwimu za Kambole mshambuliaji wenu mpya zinazidiwa na takwimu za Enock Inonga beki wa Simba.
Kilomoni hana hata uwezo wa kununua maji ya kunywa ya wachezaji sikwambii usajili na mishahara.
Simba wamelamba bilioni mbili mauzo ya jezi kutoka kwa Vunja bei,je'gsm katoa kiasi gani mauozo ya jezi za Utopolo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.