Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Watu wanajipigia tu
 
Attachments

  • Kolo.jpeg
    Kolo.jpeg
    146.8 KB · Views: 3
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wapo nyuma kwa bao moja

HT: Simba SC 0-1 KMC FC
 
Refa anaanza kuwabeba Sasa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaani timu ata uki ibeba aigombanii chochote saa nyingine marefa wanabeba aibu ya kujitakia. Refa anaibeba timu mwisho wake Taifa linaingia aibu ya mwakilishi wake kubeba tuzo ya ushirikina Kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.
 
Simba wanatakiwa wavunje mkataba wa kanoute tunahitaji watu kwelikweli pale kati, halafu wasituone cc mashabiki kama watoto wadogo,ule usajili waliouhaidi viongozi wakishindo uko wapi? Waache uhuni kama ela hamna waseme tujue....inaumiza sana kwa kweli kuiona simba inakosa shape yakiuchezaji halafu kwenye usaji hakuna linalofanyika la maana uupuzi mtupu
 
Phiri si amesajiriwa au??
 
Yaani timu ata uki ibeba aigombanii chochote saa nyingine marefa wanabeba aibu ya kujitakia. Refa anaibeba timu mwisho wake Taifa linaingia aibu ya mwakilishi wake kubeba tuzo ya ushirikina Kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.
Kwel nikikumbuka aibu ya nje ndani ya river united
 
Kibu Denis Goooooooooooooaaal gooal

Kazi murua kutoka kwa Sakho anapangua mabeki kama wooote na kupiga Krosi na kumkuta Kibu akamalizia

Simba SC 1-1 KMC FC
 
Back
Top Bottom