Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Simba wanatakiwa wavunje mkataba wa kanoute tunahitaji watu kwelikweli pale kati, halafu wasituone cc mashabiki kama watoto wadogo,ule usajili waliouhaidi viongozi wakishindo uko wapi? Waache uhuni kama ela hamna waseme tujue....inaumiza sana kwa kweli kuiona simba inakosa shape yakiuchezaji halafu kwenye usaji hakuna linalofanyika la maana uupuzi mtupu
achen kelele kanuti auzwi
 
62' Sakho Goooooooooooooaaal gooal

Pape Sakho anaipatia Simba SC bao la pili akipokea pasi murua kutoka kwa Kibu | Simba SC 2-1 KMC FC
 
Leteni kikosi kipya tena nyie makolo ili mpk kikosi kipate muunganiko mtakuwa mshapigana mawe kutoka pale site ya Bunju
 
Aliyefunga goli la 2 la Simba anayo akili timamu?

Unafunga goli alafu unavua jezi kwa mechi ambayo haitabadilisha nafasi ya timu ni akili kweli?

Dr. GENTAMYCINE alishamuongelea Matola.

Hapa Matola atashinda mechi zote kwa magoli mengi ili aonekane anafaa.
irene_kilango09~p~Ce_snMNq0lG~1.jpg
 
Henock Goooooooooooooaaal gooal

Henock anaipatia Simba SC bao la tatu | SIMBA SC 3-1 KMC FC
 
Back
Top Bottom