LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,153
- 11,204
Nilishawahi kuskia kwenye vitabu vya Kihistoria kuwa Dunia kila baada ya karne imekuwa haitulii bila vita au magonjwa mazito kuzuka ndio asili ya ulimwengu
Tokea zama za kale kumekuwa na vita vikubwa hata kwenye maandiko ya Biblia yameeleza toka enzi na ezi vilipigamwa vita vingi, maana yake vita ni asili ya ulimwengu
kwa sasa kuna kila Dalili lolote linaweza kutokea pasipo mtu yeyote kutarajia na Dalili zinaonekana kabisa kuwa kuna vita kubwa inaweza kuzuka Bara la ulaya na Asia pia naziona Dalili endapo choko choko zikiendelea
Taiwan alishaonywa na China mda mrefu kuwa eneo hilo ni mali ya China na Taiwan akagoma kuwa ana mamlaka yake na Mshirika wake mkuu ni Marekani,
China kwa sasa uvumilivu umeshamfikia shingoni na kifuatacho lolote pale linaweza kutokea maana China kashaona Ni kama Marekani amesogea sebleni kwake na kumwaga kambi zake za kijeshi kitu ambacho anaona ni Hatari kwa usalama wake, na kitendo cha Taiwan kuanza mazoezi ya kijeshi hadi kwa Raia ni kiashiria lolote linaweza kutokea pale
Mmarekani ameonya kuwa Endapo China ikiivamia kijeshi Taiwan basi itakuwa imejiingiza moja kwa moja kwenye vita na Marekani maana Taiwan na Marekani wana mkataba wa kulindana endapo mmoja akivamiwa basi wanashirikiana vitani
Maana yangu ni kwamba China akiivamia Taiwan haitokuwa kama kule Ulraine , hapa Mmarekani moja kwa moja ataingia vitani na hapo Ashia inaweza zuka vita kubwa ambayo inaweza kuleta madhara makubwa na kuingia kwenye Historia
Kule Ulaya kauli ya leo ya mkuu wa majeshi wa Uingereza kuwa "Lazima tuwe tayari kupigana tena" , hajaiongea kwa bahati mbaya huenda kuna kila dalili hapo ulaya NATO ikaingia kwenye vita vya moja kwa moja na Urusi
Ubaya wa hivi vita vikishazuka vinatuathiri hata tusiohusika, angalia mafuta ya Petroli na Dieael yalivuopaa sababu ya migogoro tu ya mataifa makubwa je vikizuka vita vikubwa zaidi itakuwaje