Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Hii simba isipofanya usajili wa maana, msimu ujao tutawapiga mechi zote. Sioni tena uwezekano wa sare ya kubahatisha kutoka kwao!

Imagine Yanga ikutangulie goli moja! Hivi utabadili vipi matokeo na kushinda kwa 3-1!! Yaani kwa wale mabeki na viungo makatili, ndiyo akina Kibu D wapite tu kirahisi! Big No ✖️
 
Hii simba isipofanya usajili wa maana, msimu ujao tutawapiga mechi zote. Sioni tena uwezekano wa sare ya kubahatisha kutoka kwao!

Imagine Yanga ikutangulie goli moja! Hivi utabadili vipi matokeo na kushinda kwa 3-1!! Yaani kwa wale mabeki na viungo makatili, ndiyo akina Kibu D wapite tu kirahisi! Big No
haa wapi,mmesajili mshambuliaji kimeo mechi 48 goli moja.mwakani mtabuma.
 
Leo Kibudenga kashinda basi pitia kwenye uzi wako wa takwimu Vs Mayele ukaweke rekodi Sawa hata kusalimia tu kama hilo huwezi.
Lile goli hata yeye mwenyewe alijisikia aibu kushangilia! Maana alijikuta tu mpira umemgonga kwenye ugoko, na kuingia golini!
 
Back
Top Bottom