Search results

  1. Chalikidunda

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Huwa hataki ujue ukwelii, mwanzo wa hicho kitabu huanza na heli asomaye na kuyashika maana wakati wake u karibu kuja, Hivyo huwa hataki ujue ukweli wa mambo yajayo na dunia itakavyokuwa
  2. Chalikidunda

    Kwa yaliyonikuta leo, WanaJF naomba msaada wa kazi

    Hahahah hakika, jamaa akajua ndo HR wa hiyo campuni
  3. Chalikidunda

    Kwa yaliyonikuta leo, WanaJF naomba msaada wa kazi

    Hahahah madhara yake ndo hayoo sasa, kuna vitu vingine hutavipata darasani ila kupitia kujichanganya na watu. Sasa huyu jamaa daah staki kuamini kama hakuwa anaijua lift before, sema ndo ashajifunza ingawa ni kwa gharama sasa
  4. Chalikidunda

    Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Mi nadhani hii trick ya kuaihirisha mchezo ipo kisiasa zaidii. Kuna kitu nyuma ya panzia.
  5. Chalikidunda

    Kwa yaliyonikuta leo, WanaJF naomba msaada wa kazi

    Daah Basi jamaa uckute alikuwa anapiga tuu msuli hata kutaka kujua vitu ambavyo alikuwa havijui hakuwa na huo mda
  6. Chalikidunda

    Kwa yaliyonikuta leo, WanaJF naomba msaada wa kazi

    Daaah usikute jamaa amepiga DIT hukoi
  7. Chalikidunda

    Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

    Yanga ipo nafasi ya 147 barani Africa
  8. Chalikidunda

    Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

    Big up simba chama langu
  9. Chalikidunda

    Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

    Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6. Napenda...
  10. Chalikidunda

    Picha ya siku ya marais wa Tanzania

    Suri ndo nn
  11. Chalikidunda

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Me kila nikifanya ngono na mpenzi wangu ,huwa sishuki hadi bao tatu ndo mzigo unasinyaa kama dk 10 hivi then unakuwa na uwezo wa kuamka ,nataka kujua tatizo ni nin?
  12. Chalikidunda

    Kufanikiwa mara ya kwanza taabu saana

    Muache chaliii aijue dunia
  13. Chalikidunda

    Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Kupata poor education haimaanishi kukosa kazi ,unatakiwa ujue kitu kama hichoo
  14. Chalikidunda

    Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Ni ukweli usio pingikaa,me mwenyew Bi mdashi ananiambiaga daily ,,"mwanangu ukitaka kufanikiwa usiishi nyumbanii"
  15. Chalikidunda

    Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Uyo ashatoboa kitambo ,she know how to make ,manage and make money work for her
  16. Chalikidunda

    Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Alivurugwa na manyonganyonga ya maths na physics, MT unazani ni mchezoo haijawai muacha mtu salama iyooo Sent from my E500 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom