Search results

  1. C

    Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Nitalifanyia kaz mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Dr Zaganza,likes nyingi kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Asante sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Wanajukwaa, Heri ya pasaka! Poleni na magumu ya COVID-19. BAADA YA SALAMU naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mwenzenu baada ya kuona maisha yamekuwa magumu nikaota ndoto ambayo nataka iwe kweli. Wazo nililonalo ni kutafuta fremu ya biashara hapa mjini, nikishaipata...
  5. C

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Habari za leo wadau, Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha Microfinance. Naomba kujua mtaji kianzio, namna zinavyofanya kazi, aina ya wateja na mengineyo ambayo sijayataja hapa. NAOMBA KUWASILISHA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    Wamesahaulika kwenye Siasa: Sadifa, Nape, January, Mwigulu, Kafulila na Mtatiro

    SADIFA YUPO UDOM ANASOMA MASTERS Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

    Habar za leo jukwaa Naomba kutoa maoni yangu juu ya staili ya uchezaji wa ndugu yetu SAMMATA Jinsi nilivyomuona jamaa, kama vile anacheza kifaza zaidi, hii si mara ya kwanza kumuona akicheza vile ,maana hata timu ya taifa yaan TAIFA STARS, jamaa amekuwa akilalamikiwa sana kwamba hajitumi...
  8. C

    Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

    Akina Ayatola mbona mpo wengi sana humu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

    Habari za leo wanajukwaa Nijikite moja kwa moja kwenye hoja, haya ni maoni yangu binafsi na ushauri binafsi. Ningekuwa kiongozi mkuu wa Iran, ningeomba tukae meza ya mazungumzo na kiongozi wa USA ili kuepusha uwezekano wa kutokea kwa vita. Nasema hivi nikiwa na sababu kwamba kama leo hii USA...
  10. C

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wakija naomba unitag Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Minada ya hadhara ina siri gani?

    Kaz kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    Minada ya hadhara ina siri gani?

    Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

    Niruhusu nikufate pm Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

    Umefikia mtaa gan kesho nikutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Mimi ni mtoto wa mama, kula kulala, nina mika 40 na ninataka kuoa

    TID ni mwenzangu pia, Toto la mama. Najuwa fika huu uzi umefungua kwa ajili ya TID maana umaliziaji wake unamlenga yeye Ebu tuambie,kwan TID ni mtoto wa mama??? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. C

    Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

    Ndo nini??? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. C

    MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

    Mc Pilipili kila siku zinavyokwenda unazidi kutuaibisha wagogo Inakuwaje mwanaume unalia mbele ya mkeo tena mbele ya media Ilitokea ulizuzuka wakat unamtambulisha Hata baada ya kumuoa bado unadeka tu Kaaaa,sisi wagogo tunaomba tuwauzie wachaga na wahaya huyu mtu maana kajaa sifa
  18. C

    Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    TAARIFA INASEMA AMEKABIDHI PICHA NA MICHORO YA JENGO HILO HAPO INA MAANA KWAMBA SIYO JENGO LILILOKAMILIKA ILA NI JENGO AMBALO LIPO KWENYE MAKARATASI KWA HIYO YATAKIWA WAO WALIJENGE MAANA KATI YA WIZARA AMBAZO ZILIKUWA BADO HAZIJAFIKIRIA KUJENGO OFISI NI HIYO
  19. C

    CIA ndani ya nyumba

    Lala ukue
Back
Top Bottom