Search results

  1. B51

    Plot4Sale Shamba linauzwa

    Habari zenu wadau. Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 5. Shamba lipo Bagamoyo maeneo ya makurunge, Kama unatoka Dar kupitia bunju ukifika pale kwenye mzunguko (round about) ya kuingia mji wa bagamoyo Makurunge ipo kilometre 8 kuanzia pale kama unaelekea msata. Ukiwa unapita njia hiyo ya...
  2. B51

    Mke wangu amefuatilia mawasiliano yangu kupitia simu kwa miezi mitatu

    Mke wangu alitrack simu yangu Kwa kipindi cha miezi 3. Jana ndio nimegundua hilo na kipindi chote hicho alikuwa akiona texts zangu zote, za kifamilia, kazini na michepuko. Naombeni kusikia mitazamo yenu kuhusu hili jambo, upande wangu bado sijatoa hukumu!
  3. B51

    Natafuta Daktari Bingwa (Specialist) wa magonjwa ya wanawake kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wadau, Naombeni msaada wa kuelekezwa ilipo hospital yenye kubobea (specialy) ya magonjwa ya wanawake Kwa hapa Dar es salaam. Au ni Dr yupi mnamfahamu ni specialist wa magonjwa ya wanawake na anapatikana wapi/hospital gani. Ahsanateni === Huyu mwanamke anasumbuliwa na maumivu makali...
  4. B51

    Msaada kuhusu app for call recorder

    natanguliza shukran wadau. Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa. So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi yanayoendelea? Shemeji/wifi yenu sio...
  5. B51

    Msaada wa haraka kwa wenyeji wa Morogoro

    Heshma yenu ndugu, nina safari ya kwenda Morogoro leo huenda nitaondoka kwa magari ya kuungaunga na ninaamini nitafika usiku. Moro sipajui kiviiile, huwa napita tu nikienda Dom, natakiwa kuwepo mitaa ya jamhuri kesho asubuh hivyo nitafika usiku naamini. So naombeni mnijuze maeneo rafiki...
  6. B51

    Anthony Joshua vs Jarrell Miller. June 1, 2019

    Joshua – Miller Nationality: British – American Age: 29 – 30 Height: 6ft 6 – 6ft 4 Reach: 82in – 78in Record: 22-0-0 – 23-0-1 KOs: 21 – 20 Rounds: 83 – 88 Nickname: AJ – Big Baby UNADHANI NANI ATACHAPIKA? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B51

    Natafuta Tuition Centre mitaa ya Tabata Barakuda

    Kichwa cha habari kinahusika, nimehamia Dar rasmi mwaka huu. Kuna sehem nimefikia kwa muda ila mwishoni mwa mwezi huu (January) nitahamia tabata barakuda, nina mpango wakurudia mtihani wa kidato cha4 mwaka huu. Hivyo naomba wadau mnasaidie kunijuza kituo cha kusomea kwa maeneo ya tabata...
Back
Top Bottom