Msaada wa haraka kwa wenyeji wa Morogoro

B51

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
569
781
Heshma yenu ndugu, nina safari ya kwenda Morogoro leo huenda nitaondoka kwa magari ya kuungaunga na ninaamini nitafika usiku.
Moro sipajui kiviiile, huwa napita tu nikienda Dom, natakiwa kuwepo mitaa ya jamhuri kesho asubuh hivyo nitafika usiku naamini. So naombeni mnijuze maeneo rafiki ninayoweza kupata guest za bei ya kawaida chini ya elfu15.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ukifika Msamvu shuka,ulizia bar inayobamba sana hapo Moro kwa sasa inayoitwa StarPark,ni karibu sana ila kwa kuwa wewe ni mgeni chukua boda bei isizidi buku,jirani na hiyo baa kuna lodge kama zote za bei hiyo na kuendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom