Natafuta Tuition Centre mitaa ya Tabata Barakuda

B51

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
569
781
Kichwa cha habari kinahusika, nimehamia Dar rasmi mwaka huu.

Kuna sehem nimefikia kwa muda ila mwishoni mwa mwezi huu (January) nitahamia tabata barakuda, nina mpango wakurudia mtihani wa kidato cha4 mwaka huu.

Hivyo naomba wadau mnasaidie kunijuza kituo cha kusomea kwa maeneo ya tabata barakuda au jirani na hapo, kutokana na ratiba na nature ya kazi yangu itakuwa rahisi kama nitapata kituo cha kusomea jirani na home.

Natanguliza shukurani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom