Search results

  1. Manofu

    Natafuta wafanyakazi

    Namba yako tafadhali nipo dodoma
  2. Manofu

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Sijui ni Kagera hipi inayozungumziwa hapa? Kama ni Kagera ninayoifahamu mm profesa katupiga change la macho. Au labda watu wanaijaji Kagera kwa kuangalia mji wa bukoba? Trust me ukiizunguka Kagera kwa ndani namanisha vijijini uwezi kuamini unachokiona. Kuna watu wanaushi Dar wengine Nje ya Nchi...
  3. Manofu

    TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

    Adhabu ya kaburi Tena wakati kakatwa mapanga na kuchomwa moto.
  4. Manofu

    UCHAGUZI MKUU WA MWAKA JANA FAMILIA NZIMA YA WATU SITA TULIMPIGIA KURA MGOMBEA MMOJA ILA MATOKEO YALIPOTOKA KITUO KIZIMA ALIKUWA NA KURA SIFURI.

    Can u imagine yani familia ya watu wazima sita wenye vigezo vya kupiga kura nikiwemo mm binafsi tena tukiwa tumeandikishwa Kituo kimoja. Uzuri ata kwenye Ile karatasi ya kupiga kura wangebadilisha position ya mungombea wetu sisi tulikuwa tunafahamu atakuwa nafasi gani au kama sio nafasi basi...
  5. Manofu

    Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  6. Manofu

    Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

    If you can talk the talk can you work the work
  7. Manofu

    Wanasheria saidieni wanafunzi waliocharazwa viboko na mtu asiye mwalimu kwa makosa yasiothibitishwa kimahakama

    Hahahahhhh......nimecheka kishenzi ila kweli kabisa yani ata mama samia akipita awachalaze, waziri mkuu naye akipita awatie makofi watoto wale ni wapumbavu kabisa.
  8. Manofu

    RC aliyechapa wanafunzi viboko atimua wanafunzi wote wa A-Level na kuwataka kulipa fedha kwa ajili ya mabweni waliyoyachoma moto

    Angewapa likizo ya mwezi mzima kabisa. Ila wale watoto ni mbuzi wa kijani kabisa. Hivi unaanzaje kuchoma kwa makusudi sehemu unayolala. Ningekuwa mm ningewasweka ndani kabisa.
  9. Manofu

    Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

    Sina wasiwasi na zaera nina wasiwasi na wachezaji.
  10. Manofu

    Serikali haijali watu wake. Hii ndiyo stendi ya Bukoba wakati Kagera kuna watu milioni 3

    Ata bukoba nayo kijografia imekaa vibaya wakati mwingine unawaza eneo zuri la kujenga stendi ulipati. Kyakairabwa pamekaa kushoto mno kwa wasafiri wanaotokea kahororo, kashai na buhembe. Ukisema stendi ipelekwe kibeta uko nako kumekaa kushoto. Hapa mjini katikati sioni open space yoyote...
  11. Manofu

    Baba mkwe, mahari hii imenishinda

    Afisa ustawi wa jamii kashindwa kustawisha jamii.
  12. Manofu

    Swali kwa Walevi

    Pole yako mm nimeanza kunywa pombe nikiwa darasa la saba. Ila kumbuka connection zote za maisha zinapatikana bar sasa wewe saa kumi kamili jioni umeishaingia ndani upo na mke na watoto, sijui upo kijiwe cha kahawa hzo dili utazipatia wapi?
  13. Manofu

    Swali kwa Walevi

    Alafu uwa najiuliza hv kwa nn watu wasiotumia pombe awajatupiga gap kubwa kimaisha maana walevi kusipendi laki kwa siku niswala la kawaida mno sasa tukija kwenye swala la maendeleo unakuta sisi walevi tumewapiga gap kubwa wale ambao sio wanywaji kiasi kwamba kuja kwako kuomba umkope ata elfu...
  14. Manofu

    Warithi wa Ole Gunnar waanza kutajwa Manchester United

    Only Mwinyi Zaera can save united from this disaster.
  15. Manofu

    Magufuli atawatosa 2020, wananchi watawakataa. Mjiandae

    Ata asingewatosa yeye mwenyewe kipindi hicho atakuwa busy na kitumbua chake yanini aangaike na wenzake. Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake full stop.
  16. Manofu

    Mechi za carabao zinaoneshwa wapi?

    Tukiwambia nunueni kingamzi cha Azam mnasema startimes mara zuku ni bora kuliko Azam. Sasa wenzako tupo mubashara kabisa kuanzia carabao, laliga, Vodacom na Belgium mpaka Ndondo washenzi nyie.
  17. Manofu

    Kitendo cha mkuu wa mkoa kukamia timu kubwa ligi kuu kikemewe

    Hv mkuu wa mkoa wa kagera mnamfahamu vzr au mnamsikia? Yule ni Brigeidia General Gaguti bonge moja la mkuu wa mkoa ila kwa vile hapati attention kubwa ya vyombo vya habari hamuwezi kuwa mnamjuwa. Wakati wa mechi ya play off kati ya kagera na stend united alinunua mechi yote mashabiki waingie...
  18. Manofu

    Ni Kipanya tena, kwa wenye akili pekee

    Siasa siipendi ila ngoja nijaribu. Mwaka wa kwanza ile ngazi ni upinzani uligalagazwa kwenye uchaguzi chama cha kijani kikashinda. Kwenye mwaka watatu na wanne kuna kibox kina matundu kumi na moja hapo kamanisha Tundu lissu alipigwa Risasi zaidi ya kumi ili kupunguza upinzani kwa kwenye mwaka...
  19. Manofu

    Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

    Toka mkuu ameingia kwenye kiti biashara ya hisa imekuwa ya kidwazi sana sema kuna makampuni bei za hisa zinapanda ikiwemo na vodacom japo sio kwa proportion iliyozoeleka.
  20. Manofu

    Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

    Exactly kama jumla ya hisa zilizo orodheshwa na kampuni usika let's say ni laki tano ambazo zinakuwa mikononi mwa watu mbali mbali ambao ni ordinary na preferred ukiweze kuwashawishi ukazinunu a zote basi kampuni itakuwa yako. Lkn mara nyingi sheria hairuhusu shares zote kumilikiwa na mutu mmoja...
Back
Top Bottom