Search results

  1. Alexism

    Utawala usiofuata sheria ni mkosi kwa Taifa, tusijifurahishe

    Kwenye jamii iliojijengea kufuata utaratibu wa kufanya mambo ya Serikali kwa kufuata sheria alafu ikatokea hiyo jamii ikaacha na kudharau utaratibu huo basi apo hiyo jamii inachimba kaburi na kupanda mbegu ya kifo. Hamna shaka lolote kua nchi yetu Tanzania tulijiwekea utamaduni mzuri wa...
  2. Alexism

    Kwanini tusiufuate mfumo wa Nazi na Fascism kwa Maendeleo Yetu?

    Hakuna jamii Duniani isiyopenda maendeleo ya jamii nzima,taifa na mtu. Ili kuleta maendeleo lazma nasi kama nchi tufanya maamuzi au kundi dogo lifanye maamuzi katika ili. Naomba nitumie mifano ya vinara wawili Duniani waliowai kuongoza nchi na kutikisa Dunia. Andrea Amilcare Benito Mussolini na...
  3. Alexism

    Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

    Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk. Lakini pia wakati wa mwanzoni...
  4. Alexism

    Sasa ni rasmi CCM si Chama Cha Siasa tena

    Leo nimejiuliza mambo maswali mengi kuhusu ili. Nimejiuliza tena kua kweli watanzania asa wasomi,wanasheria na wana harakati kua bado wanatuaminisha kua CCM ni Chama cha Siasa? Msajiri wa vyama vya Siasa bila shaka yeye si mtu wa kusimamia haki na utawala wa sheria. Kuna matokeo mengi tumeyaona...
  5. Alexism

    Tufanya hivi baada ya Magufuli kutoka

    Ndugu wanajamvi ,mara zote natumia maneno machache ila yenye ujumbe. Bara la Afrika limekuwa linapoteza pesa nyingi baada ya viongozi wengi asa marais kufanya tofauti na taratibu asa katika mikataba ya kiuchumi. Yametokea sana kwa nchi jirani kama DRC,Nigeria ata Senegal. Makampuni kama BP na...
  6. Alexism

    Kwa niaba ya Watanzania kwa wananchi wa Misri

    Nimesubiri kwenye mitandao ya Twitter pamoja na kutembela tofuti ya Ikulu ila sijaona nilichokua nakitafuta. Nchi ya Misri imeondokewa wa Rais wake wa kwanza wa kuchaguliwa na wananchi Bw.Mohamadd Morsi. Bw. Morsi alifariki juzi akiwa kwenye kizimba cha mahakamani huku akisubiri kujibu...
  7. Alexism

    Je naepukaje Uhaini?

    Habari zenu wanajamvi na watanzania kwa ujumla. Ukweli ni kuwa utu wetu,umoja wetu ,upendo wetu,Uhuru wetu na uhai wetu upo matatani na mashakani. Katiba yetu mpaka sasa ipo chini ya mtu..Katiba imetekwa(Illegal Constitutional Arrest) watetezi wa katiba nao wamechoka maana mpaka sasa awawezi...
  8. Alexism

    Nani analipa kodi ili wachache wanufaike?

    Wanabodi, mataifa yote ulimwenguni utegemea kuendesha mambo yao ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwa kutumia kodi zinazo lipwa na wananchi. Hii maana yake ni kwamba kodi ni msingi mkubwa wa maendeleo ya Taifa lolote. Lakini pia mataifa yote yameweka utaratibu wa kisheria na kikanuni kua mapato...
  9. Alexism

    CHADEMA mnahitaji vijana wazalendo

    Wana jamvi ,bila shaka wengi tulitarajia CHADEMA kiwe chama makini sana katika siasa za Tanzania. Watanzania wengi na zaidi vijana wengi waliweka matumaini makubwa kuwa CHADAMA kama chama sahihi kimachoweza kuwaongoza watanzania kufika pale ambapo wengi wangetamani Taifa ili lifike. Moja ya...
  10. Alexism

    Ujumbe kwa wote walioandikwa apa

    Wanabodi ,watu wengi wanatabia ya kusahau kua jinai ata ipite miaka mingapi kama mtu aliyeshiriki hiyo jina yupo hai lazma tu siku ikifika atawajibika. Kuna watu walifanya jinai wakati wa vita ya kwanza naya pili ya Dunia leo hii ndiyo wamefikishwa mahakamani na kukutwa na hatia. Sasa wafuatao...
  11. Alexism

    Buriani Mzee Karume; Kwaheri uhuru wa Zanzibar

    Tarehe kama ya leo mwaka 1972 yalitokea mauaji ya aliyewai kua Rais wa Zanzibar kwa miezi mitatu tu. Wakati tunakumbuka mazuri yako pia tunachukua ata muda mwingi kukimbuka jinsi ulivyoshiriki kuuzima na kuufuta Uhuru wa watu wa Zanzibar pamoja na harakati za usawa baada ya mapinduzi...
  12. Alexism

    Upinzani kuongoza Taifa ni vigumu kuliko tunavyo fikiria

    Wanajamvi asa wale wafuatiliaji wa mambo ya siasa mnaweza kukubaliana na mimi kuhusu ili. Katika nchi ambazo mpaka leo zipo chini ya chama kilichoshiriki kupigania Uhuru na kuanzisha mfumo wa chama kimoja (Monoparty -Authoritarian) ni ngumu sana vyama vya upinzani kupata ridhaa ya kuongoza...
  13. Alexism

    Mambo 8 yanayoenda kumuangusha Magufuli 2020

    Wana wa Jamiiforum habari zenu... Leo tena nasema na watanzania ninyi kuhusu ili anguko la CCM kwa mara ya kwanza kwenye Historia take tangu kishike madaraka. Ni mambo makuu ambayo dhairi shairi yanaenda kumuangusha Magufuli mwaka 2020. Mambo aya watangulizi wake walifanya kadri wawezavyo kwa...
  14. Alexism

    Utaratibu wa kuwapata viongozi wetu upo salama?

    Habari za wanajamvi? Ni siku nyingi nishike karam kuandika apa jamvini ingawa nami ni moja ya wakongwe wa JF kwa kiasi flani. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu kama ilivyo andikwa apo juu. Nina imani kuwa jamii lazma iwe na viongozi au watawala. Mfano kijiji ,koo na Taifa. Leo nitajikita...
  15. Alexism

    Muhimu:Wapi zilipo ofisi za M-Bet na Gate Way Gaming Limited

    Wadau wa mpira asa wazee wamikeka naomba msaada kunijurisha wapi ofisi za hao jamaa zilipo asa hapa Mwanza au DSM. Nimeamua kuwafuata by face maana simu hawapokei kabisa...Kuna mechi nilibet sita tano zilichezwa na zikatiki moja ya Racing Club na Tigre ilisimamishwa 8/04/2017 lakini jana...
  16. Alexism

    KULIKO MBET

    Wanajamvi leo imetimia wiki tangu ni bet kupitia Mbet Multiple na Mbet Normal...kwenye simu yaani internet na pesa ndefu nilitumia kubet lakini cha ajabu mpaka leo sijalipwa kiasi nilichoshinda na nikipiga simu yaani inaita bila kupokelewa..Je nini kimetokea kama kampuni inafungwa au kufirisika...
  17. Alexism

    Rais Mh. Dr. John Pombe Magufuli unamanisha nini katika hili?

    Bila shaka wanajamvi mko salama, kwakweli nimefuatilia sana kauli za mkuu wetu wa nchi kwa muda mrefu na leo naomba niongee yafuatayo. Hakuna ubishi kua tangu Mh. Magufuli tangu uapishwe kua rais wa nchi hii na badae mwenyekiti wetu wa CCM kuna mambo umefanya vizuri lakini kuna mengi kweli...
  18. Alexism

    Rais na Mwenyekiti wa CCM atuongoze awamu moja tu

    WanaCCM bila shaka tumeona na kutambua kua Mwenyekiti wetu wa chama na Rais wa nchi hii sio tena halali yake kugombea nafasi anazo ziongoza kwa sasa. Ni ukweli usio pingika kua Mh. Magufuli amekosa ueledi ambao kweli wanaccm na watanzania tulidhani na kuamini kua anao. Mambo mengi yamefanyika...
  19. Alexism

    CCM mabadiliko au CCM badirika

    Wanajamvi kwanza niwape salaam,habari zenu. Ni siku nyingi tangu kuingia kwa utawala wa awamu ya tano tukiwa tunasikia na kuaminishwa dhana hii ya mabadiriko ndani ya ccm ingawa mpaka leo hii wakati wa vikao mbali mbali vya ccm vikiendelea bado watanzania atujajua ni mabadiriko ya nini na ni...
  20. Alexism

    Wito: UVCCM tuungane katika hili

    Habari zenu wanajamvi,bila shaka watanzania wengi tunashudia harakati za kisiasa tena ambazo ni mbaya na hatari kwa taifa letu zinazofanywa na upande wa upinzani mfano kuidai Demokrasia,Uhuru wa Habari na kuwepo kwa matatizo ambao kimsingi yawezekana ni kweli mfano kauli mbaya zinazotolewa na...
Back
Top Bottom