Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Ndugu wanajamvi ,mara zote natumia maneno machache ila yenye ujumbe. Bara la Afrika limekuwa linapoteza pesa nyingi baada ya viongozi wengi asa marais kufanya tofauti na taratibu asa katika mikataba ya kiuchumi.
Yametokea sana kwa nchi jirani kama DRC,Nigeria ata Senegal. Makampuni kama BP na Shell zimewatumia viongozi kufanya mikataba ya siri yenye rushwa.
Apa Tanzania kuna mambo yamefanyika bila kuwepo uwazi kabisa.
1.Kandarasi ya SGR
2.Kandarasi ya Umeme inayoshirikisha mkadarasi kutoka Misri
3. Ununuzi wa ndege bila uwazi
Itakuwa kazi ya lazima na muhimu kufanyika ukaguzi wa juu ili kuangalia jimsi hizo Kandarasi zilivyotolewa.
JPM bila shaka atakua tayari kushirikiana na wakaguzi baada ya kumaliza muda wake.