Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Tarehe kama ya leo mwaka 1972 yalitokea mauaji ya aliyewai kua Rais wa Zanzibar kwa miezi mitatu tu.
Wakati tunakumbuka mazuri yako pia tunachukua ata muda mwingi kukimbuka jinsi ulivyoshiriki kuuzima na kuufuta Uhuru wa watu wa Zanzibar pamoja na harakati za usawa baada ya mapinduzi.
Wazanzibar kweli walitaka nchi yao iwe huru na watu wake wawe na serikali yao pamoja na viongozi wao.Leo hii Zanzibar tumekua watu ambayo tunachezea asa na viongozi wa kutoka huko uliko uza Uhuru wetu.
Leo hii tuna kiongozi anaitwa eti Rais lakini awezi kufanya ziara nchi za nje na kutambulika kama Rais. Leo hii kiongozi wetu akienda kwa hao waliochukua Uhuru wetu anakua tu mtu wa kawaida yaani mjumbe wa Cabinet ya serikali.
Leo hii maamuzi yetu anatengulia na hao waliochukua Uhuru wetu...inatuhuma sana.
BURIANI MZEE KARUME,KWAHERILI UHURU WETU.
Sent using Jamii Forums mobile app