Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Wadau wa mpira asa wazee wamikeka naomba msaada kunijurisha wapi ofisi za hao jamaa zilipo asa hapa Mwanza au DSM. Nimeamua kuwafuata by face maana simu hawapokei kabisa...Kuna mechi nilibet sita tano zilichezwa na zikatiki moja ya Racing Club na Tigre ilisimamishwa 8/04/2017 lakini jana imechezwa na Racing Club ikashinda 4-1. Mpunga wangu mpaka sasa bado na hii ni mara ya pili nashinda lakini silipwi.
Plz kama kuna mwenye taarifa za ofisi zao Mwanza au DSM naomba kunielekeza niende kudai changu.
Ahsante
Plz kama kuna mwenye taarifa za ofisi zao Mwanza au DSM naomba kunielekeza niende kudai changu.
Ahsante