Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Wana wa Jamiiforum habari zenu...
Leo tena nasema na watanzania ninyi kuhusu ili anguko la CCM kwa mara ya kwanza kwenye Historia take tangu kishike madaraka. Ni mambo makuu ambayo dhairi shairi yanaenda kumuangusha Magufuli mwaka 2020. Mambo aya watangulizi wake walifanya kadri wawezavyo kwa ustadi mkubwa ili yaende vizuri ili kulinda nafasi zao na chama lakini kwa awamu hii mambo aya imeshindikana kuyafanyia kazi na mwisho ni kuangushwa CCM na vyama (chama)vingine kuchukua nafasi.
1.MISHAHARA KWA WATUMISHI
Awamu ya tano imeshindwa kabisa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma kama kanuni za ajira zinavyosema.Kosa ili limetengeneza hasira na msongo wa mawazo kwa watumishi mpaka kufikia kuchukia kazi na majukum yao. Watumishi wa umma pia wamekumbwa na changamoto ya vitisho,kejeri na dharau kutoka kwa viongozi wa kisiasa kama Rc.Makonda,Rc.Hapi ,DC Murro nk. Sasa kuna nafasi kubwa watumishi wasitii au kukipigia kula chama cha CCM.
2.WAKULIMA
Ili ndo kundi kubwa la wapiga kula apa nchini..lakini kwa awamu hii maisha yao yamekua makugumu sana ...mfano wakulima wa Korosho,Kahawa na Mbaazi mpaka leo wanalia na kusaga meno kwa kilichofanyika na maamuzi yaliyofanywa na serikali ya CCM. Wengi wamekata tamaa na maisha kwani malipo na mauzo ya mazao yao imekuwa tabu...
Katika kundi ili pia kuna wafugaji ambao mifugo yao imetaifishwa,wavuvi ambao wamerudi kwenye sufuri au moja baada ya kupitia na mambo mbali mbali kama kuchoma nyavu..nk
3.AJIRA
Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna nchi ambayo inaweza kuajiri watu wote lakini pia hakuna nchi ambayo inashindwa kufanya mbadala ili watu wake wapate kuajiriwa au kujiajiri. Awamu ya tano imefanya vibaya katika ili asa kwenye kada na taaluma mbali mbali kama Afya,Sheria,Elimu,Ukandarasi n.k ..Jambo ili limewafanya wahitimu wa vyuo au mashule kupoteza matumaini na kuona kuwa serikali ya awamu hii ni mbaya kuliko za nyuma maana ziliweza kutengeneza nafasi za ajira kila mwaka.
4. ASASI ZA KIRAIA
Huku nako mambo si shwari...maana nyingi zimevutiwa usajiri au kupewa onyo na miongozo katika utendaji wao.Nyingine zimeingiliwa au viongozi wake kujikuta kwenye matatizo na serikali kwa sababu ya mitazamo..mfano REDET and TWAWEZA..
Asasi za kiraia zilikuwa na mchango mkubwa kwenye jamiii lakini sasa mambo siyo..wamefungwa midomo na jamii imepoteza mengi mfano elimu ya uraia,taarifa,misaada ,ajira...n.k
Itaendelea
5,6,7,8
Sent using Jamii Forums mobile app