Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Habari zenu wanajamvi,bila shaka watanzania wengi tunashudia harakati za kisiasa tena ambazo ni mbaya na hatari kwa taifa letu zinazofanywa na upande wa upinzani mfano kuidai Demokrasia,Uhuru wa Habari na kuwepo kwa matatizo ambao kimsingi yawezekana ni kweli mfano kauli mbaya zinazotolewa na Mh. Rais na uwepo wa njaa nchini.
Sasa sisi kama vijana wazalendo na nguvu kazi ya Taifa ili na chama cha mapinduzi huu utakua muda muafaka kuonyesha uwezo na weledi kwa watanzania kwa kupinga mambo yafuatayo kupitia kwenye mitandaoni,vijiweni no
Tupinge uwepo wa njaa yaani hamna njaa kabisa
Tupinge kwa kusema kua Uhuru wa Habari hupo
Tupinge kwa kusema kuna Demokrasia nchini
Tupinge wale wote wanaosema kua kauli zinazotolewa ni mbaya Ila tusema kua kauli anazozitoa ni NZURI na hakuna kiongozi aliwai kutoa kauli nzuri kama hizi nchini Tanzania