Search results

  1. saadmad

    ELITE FITNESS MACHINE

    Habari, Nauza Elite workout machine used haina tatizo lolote inapatikana Mwanakwerekwe Zanzibar pia naweza kuisafirisha kwa waliopo Dar es salaam au kwingineko kwa gharama yako. Inauzwa laki mbili/ 200,000/-tsh. Mawasiliano piga namba 0717596912
  2. saadmad

    Natafuta LCD screen and touch ya Samsung galaxy A5 2017

    Habari wadau, simu yangu ilianguka na kuharibika kioo so mwenye kioo cha simu tajwa ani DM . Thanks
  3. saadmad

    Msaada kwa wenye ujuzi wa iPad

    Habari zenu wadau, Nina iPad first generation nataka kuinstall applications inashindwa sababu ni older version naomba ufafanuzi vipi naweza ku upgrade kama inawezekana au kama kuna mtu mtabe wa haya mambo anaweza akasaidia. Shukran
  4. saadmad

    Natafuta short time research deals

    Habari wana jamvi natafuta temporary jobs for social sciences baseline survey, data collection, Analysis (Qualitative and Quantitative), transcription, odk questionnaires edits and uploads kwa muktadha tofauti dm kama ukihitaji Ahsante.
  5. saadmad

    Urgently needed Single girls around Iringa-Mafinga

    Girls around 18-27 ages are welcomed. For a casual parties PM. So soon as possible
  6. saadmad

    Looking for ocassional travel partner Girl

    I need serious female escort to trip with to Iringa from Dsm and round trip as well, awe aged 20-27 and in case una bwana wako please ask permission usije ukaachwa bure!! kwa tamaa ya 1 week travel, Nina 24 age marital status Single na cost zote nitalipia if u meet criteria and available...
  7. saadmad

    Natoa ushauli na tahadhari kwa watafutaji wa kazi

    A.alaykum wadau wenzangu wa forum hii, Binafsi roho inaniuma saana pale navyoona wadau wakitapeliwa na wangine bila kufahamu kuwa wanatapeliwa Nilikua muhanga wa kutokua na ajira kwa mwaka 1 tangu nilipo graduate ila nilipata wakati mgumu sana wakati nasaka ajira ila shukran kwa hapo!! Lengo...
  8. saadmad

    Youth impact fund international – tanzania kizunguzungu hikoo!!

    YOUTH IMPACT FUND INTERNATIONAL – TANZANIA Youth Impact Fund International is an international not for profit Organization with a sole aim to develop and transform Youth as drivers of change and prosperity. The Organization was developed in 2006 by his Excellency Roberto Macon Mall in Canada and...
  9. saadmad

    Talkative and Charming Girl for Friendship is Needed Urgently!!!

    Hi, Wadau looking for a serious talkative and Charming girl of this age 18-26 reside in Dar for Partnering and Network purpose! PM your contacts and expect soon reply Thanks in advanceI will Marry when I want..... No matter... Three suitors One Husband (Ngugi n Guilaume)
  10. saadmad

    Usahili wa mchujo leo kunani tena wadau

    Habari zenu wadau hongereni na poleni pia kwa kujihimu mapema kufika DUCE, na ma best zangu wamepiga mtihani wa nafasi ya Public Relation ila wanasema walicho kuta katika paper ni tofauti na kada ilivyo so hali hii ni hata kwa waliofanya kwa nafasi nyinginezo ama vipi?
  11. saadmad

    Kwa aliyepigiwa simu na Advans Bank msaada please

    Advans bank ilitangaza nafasi za Junior Community Development officer. Leo nimepigiwa kuitwa kwa usahili kesho kwa bahati mbaya nipo unguja shamba mtandao wa tigo unasumbua na sijaelewa eneo ila nilijaribu kupiga simu baadae nika ulizwa jina na nikaambiwa ujumbe atafikishiwa muhusika, kama...
  12. saadmad

    Looking for a graduate/college girlfriend in DSM

    Hey there, Iam looking for a graduate/ college girlfriend to be committed in some affairs terms n condition must reside in Dar es salaam and aged 18-25yrs. Kindly write me through abouneelam@gmail.com OOooh!!! gold diggers stay back:humble:
  13. saadmad

    Ajira bwana! Eti nikupe mshahara wa kwanza

    MDAU natafuta ajira tena nikupe pesa yangu 35 ambayo ndo balance yangu ya kupost application letter pamoja na nauli, never ever tena sikujui aaah! Nina vigezo vya kupata ajira ila kwa hili Pyeeeeeeenh.
  14. saadmad

    Msaada wanajamvi nimeitwa Interview

    Habari zenu, nimeitwa kwenda kufanya usahili na eneo la tukio ni Cefa hotel Mikochen B na mimi ni mgeni wa manispaa ya Kinondoni naomba nielekezwe nipande daladala zipi ilinifike hapo Cefa Hotel naishi Mtoni kwa azizi ally (temeke) Shukran People aint calm until they palm
  15. saadmad

    Kuitwa kwa Interview VSO

    Habari zenu wadau, nilituma maombi VSO wiki kadhaa zimeshapita walitangaza post na kwa bahati nzuri nimepigiwa simu asubuhi mapema ya leo kuwa nithibitishe kua niliomba kwao na baada ya kuthibitisha aka ni taarifu kua nahitajika kwa interview tarehe 15 Machi 2015 na maelezo kamili ange nitumia...
  16. saadmad

    Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la polisi Tanzania 2014, baada ya usaili kukamilika

    Hongereni tena wakuu maana mtandao wa www.policetz.go.tz umetoa maelekezo na majina yenu hongereni saana ila msisahau masharti na kanuni kila heri.
  17. saadmad

    Notice to 2012/13 loan applicants

    Welcome to HESLB NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital information. Therefore...
  18. saadmad

    T c u please isiwe kama mwaka jana 2011/2012 years of studies

    Wana Jf Naomba mungu hawa jamaa wasifanye madudu kama walivyo fanya mwaka jana yaani students hayupo katika list ya wanaotakiwa ku reapply for second round na vilevile hayupo katika missing details list. Ikiwa na maana yupo katika selected applicants ila waja kukuta hayupo katika kundi lolote...
  19. saadmad

    Msaada kwa anaefahamu brotherz!

    bodi ndo vile loan imenitosa bt chuo nimepangiwa Tumaini University Iringa nilikua naomba msaada maana mpaka sasa nikienda ktk post box sioni admission latter hvyo ni mimi tu au pia vipo vyuo vingne mpaka sasa havijatuma admission? naombeni ufafanuzi wakubwa!
Back
Top Bottom