Naona kabisa itakua kwa matumizi ya mtoto kitaa.. asante kwa ushauri ngoja nipitie hii linkHiyo itabidi utumie kama webbrowser, kuangalia video na kucheza mziki, Apps nyingi hazitakuea supported kwenye iPad hiyo ila jaribu bahati yako, kwanza fanya update ya hiyo iPad ifike latest iOS version inayoweza kusupport, iOS 5.1.1 kisha fuata ushauri huu SOLVED: How do I get apps for my iOS 5.1.1 on the app store - iPad Wi-Fi