T c u please isiwe kama mwaka jana 2011/2012 years of studies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T c u please isiwe kama mwaka jana 2011/2012 years of studies

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by saadmad, Aug 14, 2012.

 1. saadmad

  saadmad JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Wana Jf Naomba mungu hawa jamaa wasifanye madudu kama walivyo fanya mwaka jana yaani students hayupo katika list ya wanaotakiwa ku reapply for second round na vilevile hayupo katika missing details list. Ikiwa na maana yupo katika selected applicants ila waja kukuta hayupo katika kundi lolote please T.c.u IT's mtakua responsible and answerable at reckonning:A S 465:
   
 2. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,436
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  daah cjui kwa mwaka huu itakuaje kwa maana hali ni tete subiri 2one leo hii
   
 3. saadmad

  saadmad JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Yeah!! ni true bro maana hawatbiliki hawa jamaa coz wamewatupa rafiki zangu mwaka jana wakati hawakuwepo katika kundi la missing details wala kundi la ku reapply!!!! very sad:A S cry:
   
 4. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mwendo huu yanaweza kujitokeza yaleyale....coz matatizo yameanza kujitokeza tangu mwanzo na yanaendelea kuonekana mpaka sasa
   
 5. f

  fadhili muhala New Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  2subir wao xaxa
   
Loading...