Natafuta short time research deals

saadmad

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
517
199
Habari wana jamvi natafuta temporary jobs for social sciences baseline survey, data collection, Analysis (Qualitative and Quantitative), transcription, odk questionnaires edits and uploads
kwa muktadha tofauti dm kama ukihitaji
Ahsante.
 
Wanapatiƙana wapi?
wanapatikana msasani..sema hawalipi vizuri mkuu..ila kama una shida ya kazi ngoja nkutafutie number za boss wao anaitwa mcharo.me pia nimewahi kufanya nao kipindi bado sijapata kazi ya kueleweka
 
Mƙataɓa haƙuna?
 
Hizo ni nauri au jumla na ƴa ƙazi?
nauli ni elfu 8 hiyo unapewa daily unapoenda field na hiyo ni endapo kazi itafanyikia maeneo ya mjini ila kama ni vijijini nauli inaongezeka na mnapewa pesa ya kulala ambayo ni elfu 18 per day then kila siku mnayofanya kazi unahesabiwa elfu 13 ambayo itazidishwa mara idadi ya siku ulizofanya kazi afu utapewa baada ya kazi kuisha
 
Oƙ nimeƙuelewa mkuu asante sana ɓasi nieleƙeze tu nofanƴie mishe niƙapige mzigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom