Msaada kwa anaefahamu brotherz!

saadmad

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
519
Points
250

saadmad

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
519 250
bodi ndo vile loan imenitosa bt chuo nimepangiwa Tumaini University Iringa nilikua naomba msaada maana mpaka sasa nikienda ktk post box sioni admission latter hvyo ni mimi tu au pia vipo vyuo vingne mpaka sasa havijatuma admission? naombeni ufafanuzi wakubwa!
 
Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,908
Points
1,225

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,908 1,225
bodi ndo vile loan imenitosa bt chuo nimepangiwa Tumaini University Iringa nilikua naomba msaada maana mpaka sasa nikienda ktk post box sioni admission latter hvyo ni mimi tu au pia vipo vyuo vingne mpaka sasa havijatuma admission? naombeni ufafanuzi wakubwa!
Angalia website ya Tumaini siku ya kufungua wanafunzi wa mwaka wa kwanza uende chuoni. Wengi huwa hawapati barua.
 
Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,464
Points
2,000

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,464 2,000
Nwdayz hawatumi, kutokana na uzembe wa hapa na pale, ni idad ya wanafunz ni weng. Unaweza ukaifatilia chuo, au siku ya kufungua chuo ukifika pale wanagawa barua. Mimi ndivyo nijuavyo mimi.
 
Forum statistics

Threads 1,379,522
Members 525,452
Posts 33,748,130
Top