Search results

  1. Kiburi si uungwana

    Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  2. Kiburi si uungwana

    Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  3. Kiburi si uungwana

    Una uhitaji wa laptop mpya na bajeti yako ni ndogo? Basi hapa ndio mahali pake

    DELL LATITUDE 3340 RAM 4GB HDD 500GB PENTUM TSH 420000 MAIL rafaijumba@gmail.com call; 0676949728
  4. Kiburi si uungwana

    Ofa ya punguzo ya kuagiza gari

    Kwa anayetaka ofa ya punguzo bei la bei ya kuagiza gari, hapa ndo mahala pake, ukiweza mwambie na mwenzio, usiwe mchoyo tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kiburi si uungwana

    Mashati kwa bei pungufu

    Tunauza mashati ya kisasa Kwa jumla 14000 Rejareja 18000 Tunakufikishia bure ulipo Kwa daressalaam. Kwa mawasiliano ya Biashara zaidi tutafutane Kwa namba 0682939645. Email, mweme business@yahoo.com Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kiburi si uungwana

    Mayai yapo sokoni

    Tunauza mayai Kwa bei ya jumla kuanzia 7000-8000 Tupo msimbazi center Tunafikisha mzigo ulipo kutokana na idadi ya mzigo uliyochukua Tunapatikana Kwa namba 0682939645. Mayai ni ya kisasa. Karibuni wadau.
Back
Top Bottom