Mashati kwa bei pungufu

Mashati kwa bei pungufu

Kuna sehem kkoo nanunua mashati elf 12 kwa jumla kama unachukua kuanzia matano na 15 kwa rejareja
 
Hhhahahah ndo tunajfunza ujacr wa Mali ndugu.... Tutaimprove huduma usijal

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjasiriamali alie siriaz akiona tangazo limekosolewa kama hivi kwa kuweka picha chache basi ana edit fasta na kuongeza mashati mengine zaidi. Akija na comment hapa anakuambia kua ameshaingeza mashati.

Mjasiriamali asie siriaz anakuambia kua ataimprove (means baadae). Huyu ukikutana naw after few months ukamuuliza vip biashara atakujibu "Niliacha bana, niliona hailipi"
 
Back
Top Bottom