Search results

  1. Baba Collin

    Apple laptop (Mac Book Air) inahitajika.

    Natafuta apple laptop Mac Book air ambayo ipo katika hali nzuri.,.mwenye nayo naomba ani pm kwa mawasiliano zaidi...
  2. Baba Collin

    Waliochaguliwa

    Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
  3. Baba Collin

    Kuna hatari gani kuiacha Zanzibar?

    wadau napenda kufahamu ni kwanini viongozi wetu wanaona ni dhambi na ni vigumu kujadili mustakabali wa muungano wa tanganyika na zanzibar?je kuna hatari gani ya kuuvunja?
  4. Baba Collin

    Mimba ya wiki3

    Awali ya yote napenda kutambua uwepo wa watu makini na wenye hoja za msingi humu JF. Napata tabu sana baada ya siku mbili zilizopita kufuatwa na mdogo wa rafiki yangu ambae anadai kumpa mimba binti mmoja ambae hakumuweka wazi sana kama ni mwanafunzi au laa. Hivyo alishauriana na huyo...
  5. Baba Collin

    Utendaji

    Hivi mnaonaje utendaji wa Halmashauri zetu?
  6. Baba Collin

    Mature-age entry to University inanipa wasiwasi

    Habari zenyu wana JF? Nimekua nikipata shida na wasiwasi mkubwa kwa elimu yetu ya Tanzania hasa kutokana na namna mbalimbali zitumikazo kuwapata wasomi wa shahada mbalimbali za elimu ya juu. Nafahamu kua zipo namna mbili zilizotumika kuwapata wanafunzi wa vyuo vikuu mwaka huu yaani...
  7. Baba Collin

    Mafua yananitesa;ni nini hasa dawa yake?

    Hello wana JF! Mafua yamekua yakinisumbua mara kwa mara yaani kila baada ya kama wiki hivi ni lazima yatanipata na huwa naugua kwa zaidi ya siku tano mfululizo.nimekua nikitumia piliton na codril bila mafanikio.kuna rafiki wangu mzungu alinishauri niwe natumia juice ya machungwa kwa wingi lakini...
  8. Baba Collin

    TCU ni kama selection tayari!

    Habari zenyu wana JF? Kwa wale 1st aplplicants ni wazi kwamba selection ni kama imetoka kwani tayari 2nd application ipo on.kilicho baki ni watu kujua wamepangwa wapi.kwa wale ambao hawakuchaguliwa ni rahisi kujua kwan utakapokwenda kwenye account yako na kulogi in nenda moja kwa moja kwenye...
  9. Baba Collin

    Hodi jamani!??

    Mi mgeni humu,nahic niliingia bila kupiga hodi.nimeona niwajuze wakuu naingia jembe lenu!
  10. Baba Collin

    Elections 2010 CHADEMA na madiwani Arushaa

    Wakuu mliopo Atown hivi hali ya kisiasa imekaa vipi huko kama kesho kamati kuu ya CHADEMA itaamua kuwafukuza wale madiwani 6 wanaosemekana wamewasaliti Chama? CHADEMA watapona kweli ktk uchaguzi mdogo?
Back
Top Bottom