Waliochaguliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochaguliwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Collin, Aug 1, 2012.

 1. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
   
 2. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  idadi ni ndogo sana ama? Kwani unajua ni watu wangapi waliomba na wangapi wamekosa?
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu tumeomba degree bhana
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  inamaana watu 3677 ni kidogo? Kwani kawaida ni watu wangapi? Je,kama watu hawakuomba unategemea nini?
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kaka siunajua tcu kigeugeu? Mara leo eligible,kesho not eligible,keshokutwa ..... Yaani mambo mengi. Wengine tunaangalia alternative way.
   
 6. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nisaidieni jamani kwa mwenye majina haya ya diploma anisaidie,hayafunguki jamani angalia panda lucas na maige jeja kama wapo na vyuo walivyochaguliwa
   
 7. A

  Apex JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenzako akinyolewa zako tia maji,wakubwa 2lioomba undergraduate kazi kweli kweli,selection za diploma ndo hizo hapo so any time T kitu kinanuka,in GOD we trust.
   
Loading...