Mimba ya wiki3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba ya wiki3

Discussion in 'JF Doctor' started by Baba Collin, May 24, 2012.

 1. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Awali ya yote napenda kutambua uwepo wa watu makini na wenye hoja za msingi humu JF. Napata tabu sana baada ya siku mbili zilizopita kufuatwa na mdogo wa rafiki yangu ambae anadai kumpa mimba binti mmoja ambae hakumuweka wazi sana kama ni mwanafunzi au laa.
  Hivyo alishauriana na huyo binti waitoe hiyo mimba na binti amegoma kutumia njia ya kuingiziwa kifaa ukeni alimaarufu kuchokolewa.
  Hivyo kijana anapenda kufahamu iwapo zipo tablets ambazo akimpa huyo binti anaweza kubleed.
   
 2. Masimbwe

  Masimbwe Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  tumia hii misopotrol
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kijana ana hatari huyo....kwanza inaonyesha hakuwa akimfahamu vizuri huyo binti......pili kapiga live bila chenga...jamani jamani....khaaa....
  Mshauri amuone daktari kwa ushauri zaidi.....
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  mwambie amechelewa, hapo ni kuchokonolewa tu.........
  na huyo binti akatae hivyo hivyo walee mtoto
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sidhani mtu makini na mwenye hoja za msingi atakuwa tayari kuitwa muuaji na kutokuwa na hofu na huruma kama wewe.mwogope muumba wako ni bora hujitoe katika uuaji kama huo, kwani hawakujua madhara yake wakati wamekutana walikushirikisha!
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  zipo dawa ila mimi napenda sana watoto siwezi kukwambia
   
 7. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kutoa mimba hakuna tofauti na ku-lulu
  jamani muogopeni Mungu nyie wanadamu, ni kweli wote tumetenda dhambi na kupungukiwa utukufu wa Mungu, lakini si dhambi za mauti kama hiyo ya kuua,
  fikiria mama yako angekutoa, hivi kweli ungekuwepo?
  au mama yake na huyo demu angemtoa kama anavyotaka kufanya, wakati huu angepata wapi demu wa kuburudika naye?! amaa kweli dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
  Lakini kwa upande mwingine afikirie madhara ya kutoa mimba, huwa ni makubwa kuliko kubaki nayo na kuzaa. kwa mfano, anaweza asizae tena, hivyo atajilaumu maisha yake yote; akimtoa pia atabaki na guilty concious maisha yake yote, maana kila wakati atakuwa anakumbuka, ningezaa mtoto angekuwa na umri huu, angekuwa amemaliza shule, angekuwa ameoa au kuolewa, na mengine
  so mdogo wangu mpe mtoto haki yake ya msingi ya kuishi
  "FOR WHATERVER REASON, TAKING SOMEONES' LIFE IS NEVER RIGHT"
   
 8. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Preta, do you support this garbage? Siamini macho na masikio yangu! Anyway, dunia ya leo lolote laweza tokea
   
 9. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  miso prostol we daktar wa wapi?
   
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  jaribuni kumuogopa na kumuheshimu sana MUNGU sana nyie watu
   
Loading...