Search results

  1. if cap fits

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Kuna jirani yangu hapa yy siku zote ni kurudi saa nane za usiku,huwa najiuliza kazi zake ndo zinamalizika mda huo au ni nn?,najua anatumia pombe lakini si rahisi mtu kuwa kwenye viringe vya pombe siku zote hadi saa nane za usiku. Mke wake ni mama wa nyumbani ,sijajua kama huwa anarudi kalewa au...
  2. if cap fits

    Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Waswahili wanasema kuisifia nyama kwa utamu wake ukaudharau mchuzi huo ni ujinga maana mchuzi hutokana na nyama, mwendazake na huyo mama wote wamepikwa chungu kimoja sasa wewe endekeza siasa wakati huku mtaani sisi ndio tunaumia
  3. if cap fits

    Taa hizi zinapatikana wapii?

    Unakuta mtu umechoka mara mitaa hiyo hata kuona vzuri unashindwa,unaweza kufumba hata macho Kutumia hekima tu,unakuta mtu una tela mbili nyuma unazivuta ,ukitaka kumfanyia uhuni ni sekunde chache tu ,ila unatafakari unaona ni wale wananunua vigari vyao na bado wageni barabarani so unatake easy...
  4. if cap fits

    Taa hizi zinapatikana wapii?

    Kikawaida full lights ni nzuri ukiwa hukutani na mtu,na kama hauoni mbele vzuri jitaidi kuwa mstaarabu unapokutana na mwenzako zima kwa mda kisha washa mkipishana Kuna watu baadhi wanawasha full mwanzo mwisho,hata umpe ishara ya kuzima hana habari,hasa wa gari ndogo,unakuta kigari chenyewe...
  5. if cap fits

    Natamani nirudi nyumbani Tanzania nianze maisha mapya, lakini sijui nitaanzaje?

    Mzee rudi tu nyumbani ,kama unapakufikia we rudi,changamoto hazitokosa ila mwisho wa siku mambo yatasimama.Na vipi huyo mkeo ameridhia kuiacha nchi yake ?
  6. if cap fits

    SoC02 + Ilivyoangamiza ndoto zangu

    Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo 1990s-2004s wapendwa wetu wengi sana waliondoka kwa HIV . Kipindi cha nyuma kwanza dawa hazikuwepo na baada ya dawa kupatikana mwitikio wa utumiaji haukuwa mkubwa na kupelekea waathirika kuelemea sana na maradhi hata kupoteza maisha. Wengi walisema kuwa ukimwi wa...
  7. if cap fits

    Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

    [emoji39]
  8. if cap fits

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Utakuwa na mwanga wa udereva ila hutakuwa na uzoefu, na ukijifunza gari mara moja kisha ukakaa mda mrefu bila kugusa gari,unapoteza uwezo wako wa awali kwa sababu unakuwa bado hujakomaa. Kuwa dereva kabisa wa gari unatakiwa ukae na gari japo kwa mda wa mwezi mmoja mfurulizo,yani kila siku uwe...
  9. if cap fits

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Story closed, mna midomo sana watu wa jf, kila kono tuvimaneno kama mnamchangia chochote mhusika, good will yake mnaitumia vibaya na viujuaji vyenu. Jamaa haleti story, leteni za kwenu ambazo mnaona zinafaa, na si za kutunga tusome ... Mmejawa na wivu tu kama watoto wa kike. Jamaa anatumia mda...
Back
Top Bottom