Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020.
Tukumbushane kidogo baadhi ya Mambo au Miradi inayotekelezwa au iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...
SERIKALI imeendelea kuwang’ang’ania wakurugenzi wa Kampuni ya Kusimamia shughuli za Upatu, kwa mtindo wa Kupanda Mbegu na Kuvuna Fedha (DECI), kwa kutaka kutai sha mali zenye thamani ya Sh bilioni 14.1 zilizopatikana kupitia kampuni hiyo.
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga...
WAKAZI wa maeneo ya Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, watasahau tatizo la kukatika umeme ifikapo Aprili 30, mwaka huu. Hiyo ni kutokana na matarajio ya kukamilika ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme cha Kurasini cha 132/33kV, kitakachopeleka umeme wa uhakika Kigamboni, ambapo...
WAKALA wa Barabara nchini (Tanroads) umesema ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange), umefanyika kwa asilimia 25 mpaka sasa na umeanza kudhihirisha ukimalizika, utamaliza tatizo la msongamano wa magari huku ukijenga taswira mpya ya Jiji la Dar es Salaam.
Aidha...
Waziri wa Madini Nchini Uganda, Peter Lokeris amesema kuwa amefurahishwa na usimamizi wa sekta ya madini nchini Tanzania na kusisitiza kuwa Uganda bado itaendelea kutuma wataalam wake pamoja na wachimbaji wadogo wa madini nchini Tanzania kwa ajili ya kujifunza namna bora ya uchimbaji na...
BAADA ya kukabidhiwa rasmi na serikali ndege aina ya Fokker 50, Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) imesema itaiingiza ndege hiyo katika ratiba yake ya safari za ndani ya nchi. Miongoni mwa safari hizo za ndani ni pamoja na ya Mtwara ambayo itaanza Mei 15 mwaka huu pamoja na ya Iringa, inayotarajiwa...
Rais John Magufuli ametoa maagizo kwa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kutotoa kandarasi nyingine kwa kampuni inayotekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara-Mvinata hadi akaikamilishe ya sasa.
Ameeleza hayo alipokuwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu...
SERIKALI imedhamiria kuimarisha utabiri wa hali ya hewa nchini ku kia uhakika wa utabiri kwa asilimia 95 baada ya kusaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za teknolojia ya kisasa, ambayo Tanzania inakuwa ya kwanza kuwa nazo katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Rada hizo aina ya S-Band Radar...
Rais John Magufuli ameagiza kiasi cha Shilingi bilioni 50 kitumike kulipa wakulima 1,800 wenye korosho zaidi kilo 1,500 kila mmoja ambao bado hawajalipwa.
Rais Magufuli ameyasema hayo alipozungumza na wananchi na vingozi mbalimbali wa serikali kabla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi...
Wizara ya Madini itaendelea kusimamia Uanzishwaji wa Masoko ya Madini katika maeneo mbalimbali nchini huku ikiendelea kufanya marekebisho ya Kanuni za Uanzishwaji wa masoko hayo.
Waziri wa Madini Doto Biteko ameyasema hayo wakati akifunga Semina ya siku mbili iliyoandaliwa na wizara kwa Wabunge...
Katika kutekeleza majukumu yake ya kuhakikisha kuwa Sekta ya Fedha inachangia ipasavyo utulivu na ukuaji wa uchumi nchini, Benki Kuu ya Tanzania ilibaini uwepo wa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ambayo yalikuwa yakiendeshwa pasipo kuzingatia Sheria ya Foreign Exchange Act 1992, Kanuni za...
WAZIRI wa Madini Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa wafanyakazi wote ofisi ya madini Wilayani Chunya na kuagiza kuwafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na kwa tuhuma za kushirikiana na wachenjuaji wa madini.
Waziri Biteko ametoa kauli hiyo Wilayani Chunya Mkoani Mbeya , wakati...
uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Osi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo, maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanaenda vizuri na kinachosubiriwa kwa sasa ni kukamilika kwa kanuni za uchaguzi huo.
Vyama vya siasa vyenye usajili vinatarajia kutoa maoni...
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amefunga mitambo yote ya kuchenjulia madini ya dhahabu Wilayani Kahama baada ya kubaini udanganyifu mkubwa kwenye uchenjuaji wa madini.
Naibu Waziri Nyongo amechukua hatua hiyo kwenye ziara yake aliyoifanya jana Wilayani Kahama yenye lengo la kukagua...
Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Profesa Florens Luoga amesema kuwa maduka 82 Dar es Salaam yaliyofanyiwa ukaguzi yamekutwa na viashiria vya utakatishaji fedha.
Prof. Luoga amesema kuwa ukaguzi huo ulifanyika katika jumla ya maduka 87 na uchunguzi zaidi unaendelea dhidi ya maduka yote nchini ili...
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema huko nyuma taifa halikunufaika na rasilimali za madini kwa kuwa sekta hiyo haikuwa ajenda ya kitaifa. “Madini yaliachwa kwa wabunge ambapo rasilimali hiyo inapatikana kwenye maeneo yao, haikuwa ajenda ya taifa, wengine walizungumzia zaidi masuala yanayowagusa...
NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amemwagiza Osa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kimadini wa Kahama, Andrea Fabian, kuhakikisha anafungua soko la madini ya dhahabu haraka ili kuwapunguzia adha wachimbaji kusari hadi Geita kuuza dhahabu zao.
Nyongo alibainisha hayo juzi wakati wa ziara yake...
HOSP ITALI ya Taifa ya Muhimbili imeweka mikakati kutoa huduma bora nchini na Afrika Mashariki kwa kujenga jengo la kisasa lenye ghorofa saba litakaloanza kujengwa mwezi huu. Jengo hilo litakalojengwa kwa Sh Bilioni 20 za Serikali litakuwa na sehemu ya kutua helkopta (Helipad) kwa wagonjwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.