Hallo wana JF
Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima
Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza .
Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya msingi ambapo ningependa kujenga shule nzuri rakini itakayo tumia gharama kidogo kabisa kulingana...
wanajamvi habari za jioni kwq yyte anayeuza au kujua nitapata wap projector hizo anifahamishe au atoe kontact zak tuwasiliane ninazihitaji zile hata kwenye mwanga unaona vizuri
asante sana bwana komeka kwa msaada wako unaweza kunicheki kupitia 0767 645631 hii ni ya nyumbani nipeigie kuanzia saa 1 jioni na hii ni ya kazini 0767 566570 piga any time mpka 12 jioni uliza samwel golanga.
Tafadhari nasubili simu yako
Wandugu habari za asubuhi
Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china ila nina kama milioni kumi kama mtaji tu nauli na mambo mengine niko sawa. nauliza kwa wale wazoefu...
Habari za asubuhi wana Jamii<br>Kuna hili tatizo la wanawake kuchanwa wakati wa kujifungua ili kuongeza njia mtoto apite vizuri na baada ya kujifungua mama hushonwa, Sasa huwa inatokea kuwa mwanamke analalamika kuwa njia yake imesogeleana sana na ile ya haja kubwa hasa hasa wakatiwa tendo la...
1. Ni wa kike
2.Ana Miaka 21
3. alianza kupatwa na tatizo hili mwaka huu ka miezi 3 nyuma
4.Hatumii kilevi cha aina yoyote
5. Hali yake kwa ss sio nzuri kwani moyo pia unaaanza kuuma
6. Ana uzito wa kili 55
Hi Wanajamii habari za asubuhi
jamani ninapenda kama kuna watu wanaweza kuelewa hii kitu ni kuwa kuna shemeji yangu ana jawa na maji tumboni walienda kupima wakaambiwa milija fulani hivi haifanyi kazi. Sasa nlitaka kujua tiba ya hii kitu halafu nijue chanzao chake ni nini
Please kama kuna...
MJINGA ww usije tena kutuandikia massage zako za u ubabe huimu kama umekosa post ni bora usome za wenzako
Jamani samahani sana kama nimetumia lugha chafu maaana jamaa kaharibu kabisa siku yangu nachukia sana vitu kama hivi halafu mtu anajisifu kabisa,
Hi guys naomba labda tukumbushane jamani kitu hichi ambacho watu wengi tumekuwa nakasumba asa wanaume wengi
Yaani unashindwa kupata time hata ya kupumzika home na mkeo zen unaenda kuchili na marafiki me i gues rafiki wako wa kwanza ni wife wako.
Halafu unarudi usiku unampa kipondo so kisa we...
HALOO MABIBI NA MABWANA MABACHELA WENYE WACHUMBA ZAO NA KAZALIKA NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA KATIKA HARUSI YA KIJANA MAZOGOLA ITAKAYO FANYIKA TAREHE 2/6/2012 KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO PALE MWANZA HOTEL KARIBUNI SANA WADAU WOTE WA JAMII FORUM.
If ur realy want to come pleas Ni pm...
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.