Habari za asubuhi wana Jamii<br>Kuna hili tatizo la wanawake kuchanwa wakati wa kujifungua ili kuongeza njia mtoto apite vizuri na baada ya kujifungua mama hushonwa, Sasa huwa inatokea kuwa mwanamke analalamika kuwa njia yake imesogeleana sana na ile ya haja kubwa hasa hasa wakatiwa tendo la ndoa hivyo huisi kuwa seheme ya uke imekaribia sana sehemu ya aja kubwa. Hivyo kama kuna yoyote ambaye ana uelewa na tatizo hili au anajua solution juu ya tatizo hili atujuze.<br><br>Natanguliza shukrani vile vile hasa daktri akipatikana mwanza hata kwingineko si mbaya