Kushonwa baada ya kujifungua

Z kama Z

Member
Jul 6, 2011
60
10
Habari za asubuhi wana Jamii<br>Kuna hili tatizo la wanawake kuchanwa wakati wa kujifungua ili kuongeza njia mtoto apite vizuri na baada ya kujifungua mama hushonwa, Sasa huwa inatokea kuwa mwanamke analalamika kuwa njia yake imesogeleana sana na ile ya haja kubwa hasa hasa wakatiwa tendo la ndoa hivyo huisi kuwa seheme ya uke imekaribia sana sehemu ya aja kubwa. Hivyo kama kuna yoyote ambaye ana uelewa na tatizo hili au anajua solution juu ya tatizo hili atujuze.<br><br>Natanguliza shukrani vile vile hasa daktri akipatikana mwanza hata kwingineko si mbaya&nbsp;
 
Hiyo inaweza kumaanisha kuwa mtu huyo hajashonwa vizuri.

Iwapo hali hiyo inamletea bughudha, anatakiwa kufanyiwa operation inayoitwa perineoplastika.
 
Asante sana kwa ushauri wako
may be kwa ufafanuzi ni aina gani ya operation hiyo
 
Jamani mm nimsichana wa miaka22 ni mnene kiasi tangu nijifungue ni miez saba sasa nlvojifungua nlichanwa sasa mshono wangu ukafumuka nkarud hospital tena nkashonwa nikakaa kidogo ukaachia tena nmeshashonwa mara tatu lakini unaachia nmekua nikitumia tuu dawa hzi antibiotics kama kuna mtu anaejua dawa nyingne ambyo inaweza nisaidia kidonda kipone na kufunga anisaidie.....asanten
 
Pole sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom