Search results

  1. gerald anthoni

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Kwan hao Taesa wakisema watakupigia kwa ajil ya training ndio kusema ni intern au maana bdo nipo njia panda
  2. gerald anthoni

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Kwaio namna ya kujbu interview ndio hyo training cyo au??
  3. gerald anthoni

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Ivi Taesa wanavyosema wanakupatia training ndio hyo hyo internship au ni vtu tofauti ??
  4. gerald anthoni

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Kingne, mm waliinita kwny interview arusha lkn cku wanapga cm nilikua naelekea dar, so naeza fanyia uku uku dar kwl au
  5. gerald anthoni

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Baada ya interview inachukuaga mda gani mpk kuitwa ???
  6. gerald anthoni

    Kuhusu Network Operations Center, NOC

    Habari wana JF Naomba kufahamu kwa kina sana kuhusu NOC
  7. gerald anthoni

    Mbona siwaoni waoaji mwe!

    Nahitaji mwanamke wa kuishi nae aliye HIV + umri kuanzia miaka 18 hadi 25 Sifa awe mpambanaj tu Ni vyema awe mkoa Wa Kilimanjaro ....KARIBU PM
  8. gerald anthoni

    Ufahamu zaidi kuhusu course ya Afisa cadet

    Na je wanachukuaga hao vjna uko makambin kila Mwaka au ?? Naomba kufaham
  9. gerald anthoni

    Natafuta kazi, nmesoma Bachelor of Electronic Science and Communication Technologies

    Habari za muda huu ndugu zangu? Mimi nmesoma Bachelor of Electronic Sc and Communication Technologies. Natafuta kazi ya ICT Electronic Engineering Please mwenye namna yoyote ile ya connection naomba tusaidianeni ndugu zangu. Hata ualimu wa physics na mathematics.
  10. gerald anthoni

    Ufahamu zaidi kuhusu course ya Afisa cadet

    Naitaj kufaham hii course ya afisa cadet inatolewaga kila Mwaka au ?? Na kama n kila Mwaka inaanza mwez gani na inachukuaga mda gani
  11. gerald anthoni

    Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Naomba kuuliza hii course ya afisa cadet hua inatolewaga kila Mwaka ??? Na kama n kila Mwaka je wanaanzaga mwez Wa ngap?? Naomba mnijuze
  12. gerald anthoni

    Natafuta kazi mimi ni Mkemia.

    Kila LA kheri ndugu,
  13. gerald anthoni

    Natafuta kazi ya ICT/IT au electronic

    habari za muda huu ndugu zang. Mimi nmesoma bachelor of Electronic Sc and Communication Technologies. Natafuta kazi ya ICT au Electronic Engineering Please mwenye namna yoyote ile ya connection naomba tusaidianen ndugu zang Hata ualimu wa physic na mathematics Asante Sana.
  14. gerald anthoni

    Namna ya kufunga network kwenye jengo

    Habari za mda ndgu wana JF, Mm ni miongoni mwa watu naopenda sana maswala ya computer networking na nshaanza kujifunza installation and configuration l, lakin kitu kinachoniumiza kichwa ni nataka kujua ni kwa mfano lipo jengo MTU au taasisi wanafungua ofisi hapo hvyo wanaitaj network n vitu...
  15. gerald anthoni

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ivi kwan likes znasaidia nn uku wadau
Back
Top Bottom