Natafuta kazi mimi ni Mkemia.

lerman3x

Member
Jul 3, 2022
95
239
Mimi ni kijana wa miaka 24 ni muhitimu wa shahada ya ukemia mwaka 2021 katika chuo kikuu cha Dodoma . Ninahitaji ajira yoyote ya halali katika viwanda au kampuni yoyote inayohusiana na ukemia.
Yoyote mwenye kunisaidia anaweza kuniPM tafadhali! Natanguliza shukrani
 
Kwenye nta (beeswax) kuna pesticides, as a chemical engineer nini kinaweza kufanyika kupunguza kiwango cha pesticides kwenye hiyo nta? Kama unajua solution njoo PM
 
Interview hapahapa safi,dogo kama unajua changamkia fursa hii......usilete longolongo tena
 
Kwenye nta (beeswax) kuna pesticides, as a chemical engineer nini kinaweza kufanyika kupunguza kiwango cha pesticides kwenye hiyo nta? Kama unajua solution njoo PM
sina Access ya kuku PM Mr. inanigomeea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom